Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Kwa Sasa kanisa ni kituo Cha FARAJA kama vile bar au pub. Ni sehemu ya kujifariji na kuondoa msongo wa mawazo. Sio sehemu takatifu na hakuna wasafi zaidi ni wachafu kama sisi wengine. Kuna ukarimu na unyenyekevu wa kuigiza.
Tena Bora hata hayo mavazi uliyo yaona, Kuna mengi Huyajui.! Ni mwendo wa kutia na kutiwa kule ndani.
 
Uvaaji kanisani kiukweli umekuwa wa ovyo Sana... Full kuondoana upako
For sure hasa sisi wakatoliki imekua balaa. Kuna siku nilirudishwa na mmama mmoja nimevaa gauni lipo katikati ya magoti akasema ukiinamana jee?.Basi nikarudi zangu home sitarudia kuvaa japo sio fupi sana. Siku hzi ni mwendo wa vitenge na magauni ya kujisusia. Kuna makanisa wako very strict now days huingii hovyo hovyo
 
Bora wataokoa wengi mno kwa njia hiyo.....tumekuwa too much aisee
 
Hao watakuwa ni wasanii, wakijifanya wanakwaya.
 
Naona maboss wenye mtandao wao wameiblock video haionekani mkuu
 
mtu anaeenda kanisani na anaeenda baa hawana utofauti wowote niwale waletu.wanachuma zambi tu
 
Tatizo ni kukosekana picha
Mkuu kila kitu kikiwa na picha tutakuwa kama Twitter now,maana Twitter ushenzi umezidi,mtu yupo na demu wake getto anamvizia na kumpiga picha

Sasa na huku tukianza hivyo tutafeli
 
Mkweli mkuu

Uishi Maisha marefu mkuu
 
Ah wee hawa wanatuhitaji sana tuu kama vile sie tunawahitaji sema wao hitaji lao ni kuitwa mke wakati sie ni kula mbususu na kuzaliaha tuu.
Mie nasubiria miaka saba ijayo watakuwa wanawake wanatuomba tukafunge ndoa kuficha aibu
Mzabzab kama mzabzab
 
Hii chai ingependeza kama ingekuwa ni chai kutoka mkoani ila Kwa joto la dar chai haishuki mkuu
Mkuu kuhusu Mimi huwa sina sababu ya kutunga uwongo,je ili iweje?

Uandishi wangu ni WA matukio halisi
 
Mh uvaaji wa siku hizi makanisani unaweza kukuharibia siku kabisaaaaaaaa, wanawake tuna tabu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…