Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

iwe public au chumbani ni kosa kisheria endapo tu kama huyu ajakuruhusu au ajatoa ridhaa ya kumpiga picha full stop.
Na kumsema pia umeomba ruhusa?

Maana mnapoleta umbea mitandaoni bila ushahidi ni defamation
 
Ni kweli mwonekano wa nje ndio tafsiri ya kilichoko ndani, lakini hiii haimaanishi wanaoenda kanisani wote ni watakatifu bali kanisa ni karakana ya kuwaandaa wadhambi wamfahamu Yesu.
Umeeleweka mkuu
 
Nimependa hoja yako mkuu INA mashiko Sana

Kifupi Papa kajiripua kama mbwai mbwai
 
Na kumsema pia umeomba ruhusa?

Maana mnapoleta umbea mitandaoni bila ushahidi ni defamation
ETUGRUL BEY yeye ajasema kwa kumzalisha mtu . kwahiyo hana kosa angekuwa na kosa kama angetaja jina la mtu au jina la kanisa hapo angwkuwa yupo makosani.

alichokifanya boss wang ETUGRUL BEY hapo ni kufikisha ujumbe kwa jamii ibadilike na wala sio umbea
 
Mkuu Hali ni tete Sana kwakweli

Nakubaliana na wale wanao sema tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana
 
Yaani kuna mada bila picha ni ujinga tu
 
Wife aliniambiaga anataka kuanza kuimba kwaya, nikamwambia siku nikikuona umeenda kwenye kwaya ndio itakuwa tiketi ya kurudi kwenu. Sikawahi msikia tena. Kwenye kwaya wake zetu wanagegedwa sana.
Mkuu Kwanza pata popcorn fasta Kwa mangi umenifurahisha Sana Kwa maamuzi ya kiume

Uishi Maisha marefu mkuu
 
Bila picha hii ni chai kama chai zingine
 
Kwani hukusoma ya kua Ibada ya kweli imo ndani ya Moyo wa Mtu? Na si jengo au mapokeo yeyote ya kiimani?
Bwana awajua walio wake, nao walio wa Mungu wamjua yeye. Reference Warumi sura ya pili.
Maneno ya kufarijiana haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…