Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu
Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana
Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?
Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine
Asante