Kama wananchi wote wa Msumbiji wanaandamana kupinga matokeo nani aliipigia kura frelimo chama kikuu na kushinda?

CCM wamemtesa nani!?..Mimi nipo upande wa haki
HIvi vyama vyote iko siku vitatoka madarakani kwa kutaka au kutotaka!! Ukiona uchaguzi wa Serikali za mtaa mambo ya hovyo yanafanyika basi tu watu wajitangaze wameshinda unashangaa...Akili zetu ni ndogo kiasi gani??? Kwanini tusibadilike sasa Msumbiji wanalazimishwa kubadilika!!
 
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana

Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji

Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake, wazee wanaume, wasichana, wavulana na vijana tena siyo wawili au watatu bali ni maelf kwa maelf ya watu

Sasa nimekuwa nikijihoji mwenyewe Nan aliipigia kura frelimo mpaka kushinda mbona wananchi wote wa msumbiji wanaandamana

Wapiga kura wa frelimo ni akina nani mbona wapikura wote naona wanaandamana?

Nani kaiweka frelimo madarakani kwa awamu nyingine

Asante
Watu wamejikatia tamaa ya maisha. Hawana cha kupoteza
 
Haiwezekani wakawa wote,sema Wafuasi wa Upinzani
 
Haiwezekani wananchi wote wakaandamana. Hii ni kama maandiko ya Erythrocyte wakati akisifia mbowe na chadema yao.
 
nendeni mkashtaki mbinguni,
20231112_185139.jpg
 
Kweli mkuu TZ Bongo DAR salaam uku kila mtu anachunga M N O F U wake na uyouyo analalamika figisu za mwenzie pale yeye akitaka cha mwenzie vichekesho zaid naww tafute chake haaa utasikia kijana SUMU iyo hoooooo kijana au umetumwa kijana Tuheshimiane. Sasa apo ndio ninapochoka kule wezi uku nako vibaka walewale ndio mana wenye akili wanaona CCM mbelekwambele. Kizaz kwa kizaz lkn CCM juuu tu.
Kuna mbowe alie karibu na upinzani wamesimika udini sasa kwa tahadhari mara 100 ccm iendelee mpk pale tutakapojiridhisha
 
Back
Top Bottom