njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
sasa unamkera nani? mazeee wewe ni psychopath uko kama kigogo wa twitter atleast yeye yuko kwenye payroll ...wewe unaongea hiki baadaye unakuja na zile ID zako 40 uanjijibu vileNa ninwakera Makusudi mpaka muumie.
Kauli kama hizi ndizo zitanifanya GENTAMYCINE sasa niamue 'Kuroga' vibaya ili Simba SC iharibu ikicheza na Coastal Union FC ya Tanga na Police Tanzania ya Kilimanjaro na pia ifungwe Goli nyingi kama Nane (8) huko Shirikisho.Manara part 2 wanafiki hawaishi
Unatukera sisi ndugu zako kimakusudi?Na ninwakera Makusudi mpaka muumie.
Daaah.Kauli kama hizi ndizo zitanifanya GENTAMYCINE sasa niamue 'Kuroga' vibaya ili Simba SC iharibu ikicheza na Coastal Union FC ya Tanga na Police Tanzania ya Kilimanjaro na pia ifungwe Goli nyingi kama Nane ( 8 ) huko Shirikisho.
Shauri yenu endeleeni Kunitibua tu Ok?
Narudia endeleeni tu Kunitibua ili nikasirike na 'Niroge' vibaya tusiwafunge Coastal Union FC na Police Tanzania katika Mechi zetu zijazo za NBC Premier League na hiyo Timu tutakayopangwa nayo na CAF katika hatua ya Nusu Fainali.sasa unamkera nani? mazeee wewe ni psychopath uko kama kigogo wa twitter atleast yeye yuko kwenye payroll ...wewe unaongea hiki baadaye unakuja na zile ID zako 40 uanjijibu vile
hilo ni pyschopath huwa linapenda lionekane genius...mwenzako lina ID kama 40 hivi baadaye utaona linaibuka kujipinga kwenye uzi huu huuuDaaah.
Hivi kwa Nini mtu akifanikiwa WACHAWI nao wanaibuka Kama unyoga?
We jamaa wa kuwa hivi wewe???????
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
we ni mjinga sana unakumbuka ulichoandika hapa....juzi?Narudia endeleeni tu Kunitibua ili nikasirike na 'Niroge' vibaya tusiwafunge Coastal Union FC na Police Tanzania katika Mechi zetu zijazo za NBC Premier League na hiyo Timu tutakayopangwa nayo na CAF katika hatua ya Nusu Fainali.
Usipomzoea GENTAMYCINE utapata nae taabu sana hapa JamiiForums. Yaani hapa nilipo Nacheka mpaka basi....!!!!Daaah.
Hivi kwa Nini mtu akifanikiwa WACHAWI nao wanaibuka Kama unyoga?
We jamaa wa kuwa hivi wewe???????
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwahiyo upo / mpo tayari 'Niroge' ili tuharibu Mechi Mbili zijazo za Ligi Kuu na ile ya Nusu Fainali Shirikisho?we ni mjinga sana unakumbuka ulichoandika hapa....juzi?
Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano.
Kwa muda wa Saa 1 Usiku hadi Saa 3 Usiku huwa ni kwa Siku zozote zile na mara nyingi Simba SC huwa akicheza muda huu si tu kuwa huwa anashinda bali pia hushinda kwa Kishindo ( Ushindi Mnono )
Wazee wa Kazi ( Fitna, Uchawi na Roho Mbaya ) tulishaanza Kuicheza Mechi hii Kitambo hasa tukijua kuwa muda utakuwa ni ule ule wa Jini letu Simba SC kufurahi na kufanya Kazi kati ya Saa 1 Usiku na Saa 3 Usiku mara tena ghafla Jana tunasikia Mechi itachezwa Saa 4 Usiku ambayo itaisha karibia na Saa 6 Usiku muda ambao hata Kinyota ( Kinujumu ) ni mbaya na Jini letu nalo linakuwa limeshaondoka na halina Nguvu tena.
Kosa kubwa sana limefanyika hapa na binafsi kama GENTAMYCINE nimesikitika mno kwani sasa inatulazimu tuanze Kazi upya, tulazimishe Ushindi hata kwa Kufanya Makafara Makubwa na ya Kushtua ili Ushindi upatikane hasa kwa muda huo mpya wa Saa 4 Usiku mpaka Saa 6 Kasoro 10 au Kasoro 5 hivi.
Tukishinda kwa huo muda nitashukuru pia na kufurahi kama mwana Simba SC kwa Kuingia Robo Fainali ya CAFCC ila nisifiche wala kuwa Mnafiki kwa Uzoefu wangu wa hii Michezo na haya Masuala matokeo ni 50 / 50 na Uwezekano wa Kulia na Kutoamini Matokeo tutakayoyapata ni mkubwa tena kwa 85%.
Aliyebadili huo muda ametusaliti mno!!
GENTAMYCINE nitawalaumu sana CAF na hata nitakuwa tayari kukata 'Rufaa' Kwao kama katika 'Draw' ya leo watatupanga na Timu 'Dhaifu' ya Al Ahly Tripoli ya Libya kwani nataka Kuuona Uwezo wa Simba SC ambayo inasifiwa 'Kipuuzi' Mitandaoni kwa Kupangwa na Majabali / Magwiji wa TP Mazembe ( Congo DR ) au Orlando Pirates ( South Africa )
Si tunajiamini? Basi tuwe Wavumilivu!!!!!
Ila nikiwa naisema / nainanga Yanga SC hapa 24/7 na wana Simba SC mnafurahi huwa siwi wa hovyo hovyo?Genta ni mtu wa ovyo mno ...
Roga tu hutakua wa kwanzaKauli kama hizi ndizo zitanifanya GENTAMYCINE sasa niamue 'Kuroga' vibaya ili Simba SC iharibu ikicheza na Coastal Union FC ya Tanga na Police Tanzania ya Kilimanjaro na pia ifungwe Goli nyingi kama Nane ( 8 ) huko Shirikisho.
Shauri yenu endeleeni Kunitibua tu Ok?
Kumbe anaumia [emoji23][emoji23][emoji23]Roga tu hutakua wa kwanza