Kama Wanasimba tunajiamini tuna timu imara, kwa nini tunaombea tukutane na Al Ahly Tripoli, siyo TP Mazembe au Orlando Pirates?

Wivu unakutesa wewe utopolo
 
Hata Mazembe na Pirates nao wanaiogopa Simba na hujasema au hujui.
 
hakuna unachoweza kubadilisha. Utatabwabwaja humu mwisho wa siku utajikuta we Ni mchawi tu km wachawi wengine.

Hicho kikao Cha simba kusema hawataki kukutana na Orlando Pirates kilikaa wapi.

Watu wanasubiri droo kujua tutacheza na nani.

hovyo sana wewe. Kazi kuhangaika na Simba tu huna kingine cha kuwaza?
 
Nadhani ungeendelea kushikilia msimamo wako kwamba Simba imetolewa kwa kuwa imecheza saa nne usiku. Unazungumziaje Al Aly Tripoli na TP Mazembe wakati Simba ilishatolewa kwa kuwa ilipangiwa kucheza muda mbaya? Acha ujinga, post yako hii hapa:

... Jana tunasikia Mechi itachezwa Saa 4 Usiku ambayo itaisha karibia na Saa 6 Usiku muda ambao hata Kinyota ( Kinujumu ) ni mbaya
... Kosa kubwa sana limefanyika hapa
... Aliyebadili huo muda ametusaliti mno!!
 
Hivi madrid, liverpool hata man city walivokuwa wanamgombea benifica UEFA na wao ni dhaifu?

Usije ukasahau mkanda katika safari zako maana muda so mrefu utavua nguo.
 
Usipomzoea GENTAMYCINE utapata nae taabu sana hapa JamiiForums. Yaani hapa nilipo Nacheka mpaka basi....!!!!
We popoma umenikwaza Sana Leo sio siri.ungekuwa karibu ningekutwanga mangumi Kama mwehu.

Ule Uzi wako wa kutoboa ishu ya manala kuhujumu Simba na ikatokea kweli nilikuamini kwa asilimia zote Sasa haya mashudu umeyasndika ukiwa kichwa Kiko juu chini Kama popo au?
 
Kwa comment hii kuna haja ya kumwita daktari kuja kufanya vipimo wanasimba wenzangu?

Huyu zimeshafyetuka Tyr tumwache hivi hivi
 
Naanza kunusa roho ya utopolo kwa mbali.

Ukiingia kwenye kurasa ya Orlando Ile ya fesibuku na wenyewe Kuna timu hawatamani wapangwe nazo.

Huyu mtu huwa anajinasibu ni mwanamsimbazi lakini nahisi si kweli,

Naiona Ile roho yake ya kichawi na kishetani kwenye huu Uzi.

Inaonekana alipata uchungu kweli kwa Simba kutinga robo fainali,

Mpira una dunda na siku zote kunakuwa na matarajio matatu.

Awe Tp mazembe
Orlando pirate
Al ahly tripol
Yeyote anaweza fungwa
 
Mimi ni 'Tetesakrini' au hujanijua Mkuu?
 
relax tukiwapiga 2 orlando hapa basi fainali yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…