Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani liver sio timu imara? Mbona walikuwa wanaomba wakutane na benfica na sio real madrid?Si tunajiamini kuwa Simba SC ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC Jana kwa uwezo wetu na tuna Jeuri ya Kucheza na Timu yoyote Afrika sasa kwanini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates ya South Africa?
Tukisema ukweli kuwa kwa Kiwango cha Simba SC kwa sasa na kwa aina ya Wachezaji tulionao pamoja na Uwekezaji wetu mchanga kwa hizi Timu Tatu ambazo moja wapo tutacheza nao Simba SC 'hatutotoboa' kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho mnanitukana na mnatutukana tuliowazidi Upeo, Maono na Jicho Kali la Uchambuzi wa Michezo ( hasa Mpira wa Miguu wa Tanzania ) na Masuala mengine.
Ninasisitiza hapo ndiyo mwisho Wetu!!!!
Malengo ya Simba Sc ni robo fainali okay nakubali, nyinyi Yanga mna ndani ya hii miaka mitano mlikuwa na malengo gani?Ukiitwa mpumbavu uone unatukanwa na kumbe unastahili.
Level ya Simba ni robo fainali, huko kwengine ni majaliwa tu. Si lengo.
Taratibu inavyoenda na kushiriki mara kwa mara ndivyo watazidi kutanua malengo yao.
Hivi unasikilizaga hata press za afisa wa habari wa Simba au umekalia kijiweni na wenzio wa darasa la saba?
Kwa mujibu wake, Simba iliazimia kufika robo fainali na ndo' kitu walichokuwa wanaota na kukiimba kwa wachezaji.
Lengo limetimia.
Au hujui malengo huwa yanawekwaje?
Timu inajipima kwa mabavu yake ya budget na uzoefu. Timu kama Simba haiwezi ikaweka malengo sawa na Al Ahly au Mamelodi.
Hao wakiishia robo ni dhihaka wakati kwetu ni fahari.
Kusema hii Simba imelenga kubeba ubingwa ni kuwa na funza kichwani, labda kama michezo yote itachezwa Benjamin Mkapa.
Umfukuze Pablo kwa kutokufika nusu fainali kwa uwekezaji gani huo? Bajeti ya timu nzima ya Simba kwa mwaka, wakina Pyramid wanasajilia mchezaji mmoja.
Achilia mbali uhakika wa kushinda game away ni kutiatia maji, ukifanikiwa ni draw against teams like USGN.
Hiyo Robo au nusu unapita kimiujiza?
Pathetic.
Hopeless nani kakuambia kuwa Malengo ya Simba SC ni kufika Robo Fainali?Malengo ya Simba Sc ni robo fainali okay nakubali, nyinyi Yanga mna ndani ya hii miaka mitano mlikuwa na malengo gani?
Ili niwe 'Nakutindua' vizuri au?Unaonaje ukihamia uko utopoloni
Na 'Nitaroga' tufungwe hadi mniombe Radhi. Naanzia na Mechi ya Keshokutwa na Coastal Union FC kule Tanga ambako nitachezesha 'Kiuchawi' ili tutoke tu 'Sare' huku nikifikiria je, Mechi yetu na Police Tanzania nayo 'niichezeshe' ili tutoke 'Sare' au 'tufungwe' tu kabisa?Majini yako yatatusaidia.
Na ninwakera Makusudi mpaka muumie.We vipi??????????
Umeanza upopoma Sasa.