Kwanza thibitisha Mungu yupo.Kaka una deni la swali langu. "WEWE UKILA HUWA UNATUMIA MKONO GANI ?"
Akili ni nini?Unaakili??
Kwanza thibitisha Mungu yupo.
Mimi nikianza kukuuliza hili swali kitambo sana.
Hujalijibu.
Pia, swali lako ni la kivivu. Unauliza mkono gani kama vile ni lazima kula kwa mkono fulani.
Ni swali la uvivu wa fikra na ujinga wa tamaduni.
kiswahili hakijitoshelezi labda niseme ingenuityAkili ni nini?
Hujathibitisha Mungu yupo.Kaka elimu ya ada na desturi kadhalika tamaduni naijua vyema na nina jua wapi niitumie na wapi nisi itumie.
Swali langu,kama ungekuwa unafikiri kwa umakini bia shaka ungetanabahi.
Tafuta maana yake Kiswahili halafu urudi.kiswahili hakijitoshelezi labda niseme ingenuity
Kwanza thibitisha Mungu yupo.
Mimi nikianza kukuuliza hili swali kitambo sana.
Hujalijibu.
Pia, swali lako ni la kivivu. Unauliza mkono gani kama vile ni lazima kula kwa mkono fulani.
Ni swali la uvivu wa fikra na ujinga wa tamaduni.
Hujathibitisha Mungu yupo.Unajua nyinyi watu huwa nawafanisha na mpambaji/mrembaji mmoja aliyekusudia kumremba binti macho,mwishowe akamtia chongo.
Nyinyi huwa mnafikiri mnatengeneza kumbe mnaharibu.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha.
Kwa sababu hayupo.
Weka link hapa. Wapi. Tujadili.Hii kazi iliisha kitambo sana.
Hujathibitisha Mungu yupo.
hahhahahah haki ya Mungu . sawa bwana mkubwa .shenzi sanaTafuta maana yake Kiswahili halafu urudi.
Maana hicho Kiingereza ulichokikimbilia hukijui.
Unatafuta kutukanana sasa?hahhahahah haki ya Mungu . sawa bwana mkubwa .shenzi sana
hapana nimejitukana mimi au we unataka kunitukana?Unatafuta kutukanana sasa?
Sikujifunza lolote. Hayo ni mambo niliyomaliza kuyasoma nikiwa na miaka 14.Tarehe 27 July kulipatwa na mwezi,wewe katika tukio hili ulijifunza nini au wakubwazako walikupa muingozo gani au sayansi inasemaje ?
Umeshajitukana mwenyewe. Yatosha.hapana nimejitukana mimi au we unataka kunitukana?
Weka link hapa. Wapi. Tujadili.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi.
Kwa sababu hayupo.
Sikujifunza lolote. Hayo ni mambo niliyomaliza kuyasoma nikiwa na miaka 14.
Thibitisha Mungu yupo.
Kabla sijafika mbali, kwenye namba moja hapo, kujibu maswali u ayoulizwa, labda ungeanza kwa kuonesha mfano kujibu swali langu la siku nyingi.Kaka ungekuwa umejipamba au kupambika na sifa tatu hizi :
1. Ungekuwa unajibu maswali unayoulizwa
2. Ungekuwa una uliza maswali ya kweli wal sio maswali ya uongo
3. Ungekuwa unasoma hoja ukazielewa kwanza kabla ya kuchangia chochote
Bila shaka ungekuwa pazuri sana kifikra,maarifa na kielimu.
Thibitisha Mungu yupo.Hapa sasa ndio umejibu swali sio kule nyuma ulikuwa unaogopa ogopa.
Sasa embu nijibu kale ka swali kangu " WEWE UKIWA UNAKULA UNATUMIA MKONO GANI ?"