Kama watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia chafu

Hivi unakumbuka mtoa mada anazungumzia nini ?
Unaakili??
Kaka una deni la swali langu. "WEWE UKILA HUWA UNATUMIA MKONO GANI ?"
Aisee
 
Mpaka sasa hakuna mtu aliyethibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote yupo.

Naona watu wanakwepa swali tu.

Hawawezi kujibu.

Kwa sababu hayupo.
Duh!!
 
Kaka mimi sio mnafiki,huwi mnafiki mpaka utimize sifa nne. Naona umenisingizia tena.

Kama unakumbukumbu vizuri,mimi ndio nilianza kukuuliza wewe swali kuhusu kama hao malaika sio malaika basi hao malaika ni kina nani ? Hujajibu swali hilo mpaka muda huu.

Pili unaoneana una matatizo ya kuunganisha hoja mbilizinazo kinzana kuwa hoja moja yenye kuwiana sawia na hoja hizo mbili kinzani. Hapa nitakupa mfano ikibidi.

Kitendo cha wewe kusema ya kuwa hao malaika wenyewe sio malaika jua ya kuwa hauku kanusha kutokuwepo kwa hao malaika bali ulikataa tu ya kuwa hao malaika sio malaika bali ni jambo fulani au kitu fulani.

Sasa hao malaika ambao sio malaika ni kina nani ?
 
I'm in my asinine brute mode now.

Nikujibu swali moja mara ngapi ili kamasi zilizojaa kichwani mwako unazoziita ubongo ziweze kuelewa?
 
I'm in my asinine brute mode now.

Nikujibu swali moja mara ngapi ili kamasi zilizojaa kichwani mwako unazoziita ubongo ziweze kuelewa?

Kaka kusema sijui kwa swali usilolijua ni nusu ya elimu mzee. Wala hutachekwa bali ni ushujaa na ni uanaume.

Na nina sema hivi hata kwenye wanaume kuna wanaume.

Nimemaliza....!!
 
Kaka kusema sijui kwa swali usilolijua ni nusu ya elimu mzee. Wala hutachekwa bali ni ushujaa na ni uanaume.

Na nina sema hivi hata kwenye wanaume kuna wanaume.

Nimemaliza....!!
Kwanini nikujibubswali moja zaidi ya mara moja?

Wewe una kumbukumbu fupi hivyo umesahau?

Ni mjinga sana huelewi?

Au unajifaragua tu?
 
Inaaminika kuwa Malaika ni viumbe wasio na hatia.. Watoto kuitwa malaika ni kutokana na sifa hiyo na siyo vinginevyo..

Angels are innocent creatures so are the kids and the reverse is true!

Mfano ukisaliti uitwe Yuda ama ukiwa na roho nzuri uitwe Msamaria!

Hizo tabia ulizozitaja wanajifunza kwa wanaowazunguka..
 
Kaka kusema sijui kwa swali usilolijua ni nusu ya elimu mzee. Wala hutachekwa bali ni ushujaa na ni uanaume.

Na nina sema hivi hata kwenye wanaume kuna wanaume.

Nimemaliza....!!
Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…