Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni
udaktari
Kilimo na uvuvi
Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science

Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi ule wa disco sound

Watu wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu watu wanazidi kuzaliana na lazima mtoto aende shule tu, sasa unadhani atafundishwa na Nani Kama sio mwalimu.
 
Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni
udaktari
Kilimo na uvuvi
Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science

Mtu unasoma HR hata Sehemu ya kujitolea Kupata tu ni mziki mnene kuzidi Hadi ule wa disco sound

Watu wanumwa wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu watu wanazidi kuzalina na lazima mtoto aende shule tu Sasa unadhani atafundishwa na Nani Kama sio mwalimu.
Ko wote tukisoma hayo unayoyasema

Maisha ya binadamu yatakuaje?

Tunaishi kwa kutegemeana.
 
Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni
udaktari
Kilimo na uvuvi
Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science

Mtu unasoma HR hata Sehemu ya kujitolea Kupata tu ni mziki mnene kuzidi Hadi ule wa disco sound

Watu wanumwa wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu watu wanazidi kuzalina na lazima mtoto aende shule tu Sasa unadhani atafundishwa na Nani Kama sio mwalimu.
- Ukiona rafiki Yako aliyesomea HR Yuko TRA,EWURA,LATRA, usimuonee Wivu, Kwa sababu huyo akianza Kazi anakuzidi Kwa mara4
 
Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni
udaktari
Kilimo na uvuvi
Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science

Mtu unasoma HR hata Sehemu ya kujitolea Kupata tu ni mziki mnene kuzidi Hadi ule wa disco sound

Watu wanumwa wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu watu wanazidi kuzalina na lazima mtoto aende shule tu Sasa unadhani atafundishwa na Nani Kama sio mwalimu.
Matajiri tusome nini mkuu!?
 
Back
Top Bottom