Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

Ingekuwa ni mimi ningeshauri asome moja wapo wa fani hizi;-

  1. Engineering
  2. Medical Doctor
  3. Quantity Survey
  4. Vocational Training in either Masonry, Electrical, Mechanical kwa wale watakaokuwa na Elimu ya wastani.
 
Kabla ya kushauri kwanza inabidi ujue ufaulu wako ndio unakupangia kwanzaingekuwa suala la kujipangia mtu 90% ya wanosoma corse za Social Science wangechagua hizo coirse za engineering, MD nk
 
Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni
udaktari
Kilimo na uvuvi
Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science

Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi ule wa disco sound

Watu wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu watu wanazidi kuzaliana na lazima mtoto aende shule tu, sasa unadhani atafundishwa na Nani Kama sio mwalimu.
Ila bado kuna walimu na madaktari maelfu hawana kazi. I think kuna mambo mengi zaidi ya kutilia maanani.
 
Kabla ya kushauri kwanza inabidi ujue ufaulu wako ndio unakupangia kwanzaingekuwa suala la kujipangia mtu 90% ya wanosoma corse za Social Science wangechagua hizo coirse za engineering, MD nk
Ni sahihi, ila wengi wanaosoma hayo masomo ya Social Science unakuta aliacha kusoma Chemistry na Physics alipokuwa Form 3 na wangekuwa na Option ya Kuacha Hesabu wangeliacha pia 😄 🏃🏃🏃
 
Ingekuwa ni mimi ningeshauri asome moja wapo wa fani hizi;-

  1. Engineering
  2. Medical Doctor
  3. Quantity Survey
  4. Vocational Training in either Masonry, Electrical, Mechanical kwa wale watakaokuwa na Elimu ya wastani.
Umemaliza
 
Back
Top Bottom