BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
- Dah, Kwa hiyo ndo watufanyie muhuri kwa 20,000?Mkuu, ulizia gharama ya kusoma SCHOOL OF LAW na idadi ya wanaodisco kila mwana,
Utasadiki kuwa kupata huo muhuri ni kazi nzito kuliko kusomea sheria miaka 4.