Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

Ingekuwa ni mimi ningeshauri asome moja wapo wa fani hizi;-

  1. Engineering
  2. Medical Doctor
  3. Quantity Survey
  4. Vocational Training in either Masonry, Electrical, Mechanical kwa wale watakaokuwa na Elimu ya wastani.
 
Kabla ya kushauri kwanza inabidi ujue ufaulu wako ndio unakupangia kwanzaingekuwa suala la kujipangia mtu 90% ya wanosoma corse za Social Science wangechagua hizo coirse za engineering, MD nk
 
Ila bado kuna walimu na madaktari maelfu hawana kazi. I think kuna mambo mengi zaidi ya kutilia maanani.
 
Kabla ya kushauri kwanza inabidi ujue ufaulu wako ndio unakupangia kwanzaingekuwa suala la kujipangia mtu 90% ya wanosoma corse za Social Science wangechagua hizo coirse za engineering, MD nk
Ni sahihi, ila wengi wanaosoma hayo masomo ya Social Science unakuta aliacha kusoma Chemistry na Physics alipokuwa Form 3 na wangekuwa na Option ya Kuacha Hesabu wangeliacha pia πŸ˜„ πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Ingekuwa ni mimi ningeshauri asome moja wapo wa fani hizi;-

  1. Engineering
  2. Medical Doctor
  3. Quantity Survey
  4. Vocational Training in either Masonry, Electrical, Mechanical kwa wale watakaokuwa na Elimu ya wastani.
Umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…