Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

Sawa na sisi mahr tunakiskia tutakutana

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
 
Hata kazi za polisi ni za watoto wa masikini pia. Ongezea hapo.
 
Watu wamesoma psychology wanapiga pesa kumshauri mtu kwa saa 1:30 bei elfu hamsini.

Kwa siku akipata watatu au hata wawili kwa week ana wangapi had mwezi uishe!

Utasema wateja wa kulipa hawapo !!!?? Wapoo kibao hasa miji mikubwa kama Dsm, Arusha, Mwanza n.k

Kwa hiyo uandishi wako ni opinions.
 

Ko watot wa masikini tulosoma IT imekula kwetu mwaka wa pili hatuna ajira
 
Kwa hiyo akisomea ualimu masomo ya geography na kiswahili , inakuaje hii hujaitolea maelekezo ujue
 
Kwa hiyo akisomea ualimu masomo ya geography na kiswahili , inakuaje hii hujaitolea maelekezo ujue
Mkuu Muda wako unakuja everything will be ok it's just matter of time.
 
Umetufokea tuliosoma HR daahπŸ˜€πŸ˜€

Ila ni ukweli mi siwezi mshauri mtu asome HrπŸ˜€πŸ˜€
 
Umasiki uwe na fani zako chukua zako ufundi ujiajiri hizi coz za kusubr kusamabaza CV n mbya sn
 
Kiufupi makozi yote magumu gumu ndio ya maskini mfano engineering.

Usije Anza kulaumu watu Kwa connection
 
πŸ‘©πŸ»β€πŸ”¬πŸ‘©πŸ»β€πŸ”¬πŸ‘©πŸ»β€πŸ”¬πŸ‘©πŸ»β€πŸ”¬πŸ‘©πŸ»β€πŸ”¬
 
Uhandisi je??
Hizo course za watu wa kishua , uhandisi mpaka unamaliza chuo uwe ushaanza Kupata tenda serikalini za millions of money yupo ,lecture ndugu yangu udsm anafundisha uhandisi ,kafungua kampuni yake tangu akiwa chuo , na kampa Mama yake anasimamia wanagawa a faida tu.


Sasa wewe Kama masikini huna mipango aisee Kazi sio nyepesi
 
Umesahau kozi moja kubwa sana UFUNDI (ENGINEERING)
asikudanganye mtu huko ndipo tulipo wasakatonge
 
Ne

Nda Law school Matokeo yametoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema pale Law mtu akikaza serious anatoboa Mimi ndugu zangu wamesoma hapo Tena wakiwa na Majukumu kibao lakini wametoboa tu vizuri nadhani mchawi atakuwa kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…