Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.
Uchawi haumalizwi kwa uchawi, huko ni kuutuliza/kuupooza tu kwa muda Ila baadae hali hujirudia au kuwa mbaya zaidi.

Kiboko ya wachawi ni kumkiri na kumpokea Yesu kristo.
 
Hao waganga Wanapotoa nguvu ya kupambana na wachawi,ndipo na hao wachawi wanapochota nguvu ya uchawi,kwa hiyo tunasema uo ni mchezo wa kiini macho.Hao wote ni Serikali moja Wizara ndio tofauti.Kipofu awezi kumtoa kipofu mwenzie shimoni zaidi ni mipango ya kuwafanya watu waamini uchawi zaidi na kuutumikia kwa masharti watakayopewa na hao waganga.
 
Naweza kupata business card Toka kwa hao makontracta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…