Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

Mganga
Mchawi
Mshirikina
Tiba asilia
Shetani katika shepu tofauti.
Shetani kasizi kuzimu watumishi wake ndio hao mtaani Kama ilivyo Kigoma huko.
 
HAO HAO NDIO WANAOWACHANJA CHALE MANABII MIKONONI ILI NABII AKIKUSHIKA KAMA UNA PEPO UNADONDOKA CHINI, The intelegency game for stupid.
Kipindi cha Yesu na miujiza yake wale vichwa vizito kuamini walisema Yesu anatumia nguvu za giza, unalijua ilo?
 
Napinga vikali hao ma contractor kutoka nchi zingine kwani hapa hatuna wataalam wetu waliobobea kwenye hio fani [emoji3302][emoji3430]hii tenda ingefanywa na wazawa kwani wapo wakufunzi waliobobea wengi tuh hapa
It was international competitive bidding
 
Kwamba nabii Boni amekuja na nhuvu za niger, nipo kakonko hapa
 
Ndiyo viongozi wetu walipotufikisha.Kutufanya masikini wa kutupwa.usipovuna vizuri ilihali hujapanda mbegu bora Wala kutumia mbolea wanasema mazao yamechukuliwa kichawi.Sio kisa lao.Shikamoo viongozi wa kiafrika.
 
Back
Top Bottom