Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

Ulaya waliendelea baada ya kuwaua wachawi wote.
Africa ifanye hivyo,hata vitabu vyote vya Dini vinatoa ruhusa wachawi kuuwawa
Yani upate maendeleo kwa kuuwa tu wachawi? Sidhani kama uchawi ndio kikwazo cha maendeleo, tukitoka kuuwa wachawi tutaanza kuuwa mashabiki wa simba na yanga.
 
Halafu baada ya hapo zile za sababu za kuwaondoa hao wachawi(athari za uchawi) zinaendelea kuwepo?
 
Safi sanaaa wakandarasi roka DRC & NIJA, Wachawi washenzi sanaa! Wanasumbua
HAO HAO NDIO WANAOWACHANJA CHALE MANABII MIKONONI ILI NABII AKIKUSHIKA KAMA UNA PEPO UNADONDOKA CHINI, The intelegency game for stupid.
 
Napinga vikali hao ma contractor kutoka nchi zingine kwani hapa hatuna wataalam wetu waliobobea kwenye hio fani [emoji3302][emoji3430]hii tenda ingefanywa na wazawa kwani wapo wakufunzi waliobobea wengi tuh hapa
 
Tunavyuo vikuu vingi hapa tz vinatoa ma engineer [emoji3302][emoji3430] kila mwaka
Chuo kikuu cha sumbawanga au tanga hakijawai toa ma engineer vilaza [emoji3362]
 
sasa hawa wachawi wakiwamaliza wote hlf usalama wa nchi unakuwaje au hao wachawi hawalindi nchi? maana hata hao waganga ni wanga vile vile wasijekuwamaliza hlf wao ndo wakawa wanaingia na kutoka km shamba la bibi
 
Zamani kuna kijiji waliita mganga toka Malawi ili aondoe uchawi. Wachawi wwengi kwenye kile kijiji walikamatwa na kutolewa uchawi. Cha ajabu baada ya mganga kurudi kwao Malawi, uchawi uliendelea kwenye kile kijiji 😀😀😀
 
Yani upate maendeleo kwa kuuwa tu wachawi? Sidhani kama uchawi ndio kikwazo cha maendeleo, tukitoka kuuwa wachawi tutaanza kuuwa mashabiki wa simba na yanga.
Uchawi unadumaza fikra,we uoni watu wanapotoshana huwezi fanikiwa bila dawa huu si upumbavu wa fikra chanzo ni wachawi.
Hata maandiko usema wachawi wauwawe
 
Uchawi unadumaza fikra,we uoni watu wanapotoshana huwezi fanikiwa bila dawa huu si upumbavu wa fikra chanzo ni wachawi.
Hata maandiko usema wachawi wauwawe
Sasa hilo suala lina athari kiasi gani? Nachojua pamoja na hizo imani za kichawi ila bado watu wanafanya kazi kwa bidii.
 
Sasa hilo suala lina athari kiasi gani? Nachojua pamoja na hizo imani za kichawi ila bado watu wanafanya kazi kwa bidii.
Ndio lakini wanafeli kwa kuweka nguvu zao za Imani kwenye ushirikina badala ya ukuzaji maarifa
 
Kweli, huwezi kuondoa giza kwa kutumia gizà yaani uchawi kwa uchawi.
Ukitaka kuondoa gizà lete nuru (Yesu), giza (uchawi) lazima liondoke.
giza na mwanga vyote vimeumbwa na Mungu ....ishu ni nia...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…