Kifupi unasema waoe Hawa gen Zi , kataa NDOA.Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.
Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.
Mwambie afanye kazi za kiume; ni bora angeenda kujitolea huko GazaUnauliza majibu?
View attachment 3580931
Maamuzi magumu ya kupangia watu maisha?Maendeleo ya dunia yanafanywa na wanaume halisi wanaofanya maamuzi magumu na si hawa wanaojipikilisha.
Bro umeelewa?Ukichukua mchele,maji na mafuta ukavichanganya pamoja kwenye sufuria juu ya jiko ukabadilika na kuwa wali,Nini kinabadilisha uanaume wako?
Hawatakiwi kukimbia majukumu walio umbiwa.Kifupi unasema waoe Hawa gen Zi , kataa NDOA.
KISA Mali AMBAYO ukifa unaicha kwa familia
Ili uwe na tabia njema ya kiumeMaamuzi magumu ya kupangia watu maisha?
Pumbavu sana bwasheeMwambie afanye kazi za kiume; ni bora angeenda kujitolea huko Gaza
Na chumvi kiasiUkichukua mchele,maji na mafuta ukavichanganya pamoja kwenye sufuria juu ya jiko ukabadilika na kuwa wali,Nini kinabadilisha uanaume wako?
Vizuri sana!Bro umeelewa?
Hawa ndio wanafanya dada zetu wasiolewePumbavu sana bwashee
Tabia za kupangia watu maisha ni za kimama hiziIli uwe na tabia njema ya kiume
Utawajua tu kwa matendo yaoTabia za kupangia watu maisha ni za kimama hizi
Endelea kugeukageuka hapo kwenye makochi kwa shemeji ukisubiri usiku usikilizie miguno ya sister wako!Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.
Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.
Sasa hivi lindi nachingwea kuna apartments zilizozungukwa na pizza hut,kfc na solaria!Napoishi apartment kwangu nimezungukwa na pizza Hut na kfc na solaria so nakuwa sina budi tu kujipikia mchele wangu kwenye rice cooker chap na kuku wangu supu au samaki chap kwenye fry pan mixer maviungo yote dakika 10 tu kitu tayari
Mwanaume halisi hatakiwi kujipikilisha ili kulinda uanaume wake wa kimamlaka.Endelea kugeukageuka hapo kwenye makochi kwa shemeji ukisuburi usiku usikilizie miguno ya sister wako!
Ukitaka ujue hawana kitu, waambie waende kujitolea pale Gaza. Ila Mwanaume halisi hatakiwi kujipikilisha ili kulinda uanaume wake wa kimamlaka.Acha ukiliza na ujuha,
Wamasai wanaume wanachoma nyama kwa mamia ya miaka na ukiwapa mke wako wanamshughulikia vilivyo mpaka anakusahau.