Kama wewe ni smart na una akili, kwanini hujafanikiwa kuwa Tajiri? Inageukia kwamba wewe ni mjinga

Kama wewe ni smart na una akili, kwanini hujafanikiwa kuwa Tajiri? Inageukia kwamba wewe ni mjinga

Thamani ya vitu unavyomiliki ikiwa Ni pamoja na pesa ndio utajiri na sio kuwa na afya, tabia njema nk.
Basi kama hivyo ndivyo unavyofikiri, wewe ni maskini sana wa fikra na fukara wa uhai.
 
Kwanza bahati haina nafasi katika maisha, pili wote hatuwezi kuwa matajiri kwani lazima kuwe na madaraja ya kutegemeana ili gurudumu la maisha lisonge.

Kutokuwa tajiri haimaanishi ni ujinga, na kuwa tajiri haimaanishi una akili kubwa kuzidi wengine.
 
kila mtu ni bora katika sector fulani...tatizo linakuja kwenye kujua ubora wako,..... duniani hakuna BAHATI.... mafanikio ya kiuchumi yanahitaji zaidi ya akili pia maamuzi magumu...

Bahati ipo.
Mafanikio ya mtu yanaweza kuchangiwa na mambo yasiyokuwa chini ya udhibiti wake moja kwa moja, kama vile mazingira aliyozaliwa, hali ya uchumi ya wakati huo, au fursa zisizotarajiwa zinazojitokeza.

Hali hizi mara nyingi huambatana na uwezo wa mtu kuzitumia nafasi hizo kwa njia sahihi.
 
Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.

Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.

Kama unajiuliza kwanini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.

Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
kama wewe ni smart Mathematician au engineer hakuna uhusiano na utajiri moja kwa moja ,hayo ni Mungu aliopanga ,juhudi binafsi nabahati uliopangiwa na mwenyezi Mungu .

Hakuna mjanja kwenye hilo

pia tutofautishe Utajiri vs Ukwasi wa kukusaidia kula kujenga na kulala, utajiri maana yake ni umefikia aboundance life
 
Mimi ni smart na nina akili, Hayo mafanikio mengine unayoyazungumzia ni yapi?

Mafanikio mengine yanayozungumziwa yanaweza kuwa yale yanayohusiana na maendeleo ya kiuchumi na kifedha, uwezo wa kubadilisha maisha yako au ya wengine kwa kiwango kikubwa kupitia rasilimali, au hata kuanzisha miradi inayosaidia jamii kwa upana zaidi.
 
Sasa hayo ni yako wewe, uchumi na fedha kwangu si mafanikio ninayotamani.
 
Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.

Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.

Kama unajiuliza kwanini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.

Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
Wanyweee smart gin watakuwa sawa tu
 
Kwanza bahati haina nafasi katika maisha, pili wote hatuwezi kuwa matajiri kwani lazima kuwe na madaraja ya kutegemeana ili gurudumu la maisha lisonge.

Kutokuwa tajiri haimaanishi ni ujinga, na kuwa tajiri haimaanishi una akili kubwa kuzidi wengine.
Chukulia umelima mahindi huo mwaka ukapata mazao mengi halafu wenzio wakapigwa na ukame bei ikpaa juu ukapiga hela.
Umelima mahindi, huo mwaka mvua zakanyesha mazao yakanawiri kila kona, bei ikashuka ukauza kwa hasara.Je hayo matukio yana ashiria bahati au akuli ?
 
Chukulia umelima mahindi huo mwaka ukapata mazao mengi halafu wenzio wakapigwa na ukame bei ikpaa juu ukapiga hela.
Tukio la kwanza halina maana kwamba mahindi umelima na ukafanikiwa kuuza pekeyako soko nzima, japo wengi wamekosa lakini lipo kundi lililopata. Je hao wote waliopata wana bahati inayo fanana?
Hayo ni matokeo ya hali ya hewa tu.
Umelima mahindi, huo mwaka mvua zakanyesha mazao yakanawiri kila kona, bei ikashuka ukauza kwa hasara.Je hayo matukio yana ashiria bahati au akuli ?
Misimu ya mvua pia haiji kwa bahati mbaya, wapo wanaoweza kufanya climate forecasting na wakajua kama mvua kubwa zinafata hivyo wakapunguza kipimo cha uzalishaji

HAPO HAKUNA BAHATI, NI MATOKEO YA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA ASILI KWA UJUMLA.
 
Je,una uwezo wa kumjua Mkristo wa Kweli na Mkristo bandia
Imani za uwepo wa Yesu ni imani bandia za kusadikika tu, zisizo na uthibitisho wowote ule.

Kwa hivyo ukristo ni bandia, Pia wakristo na waumini wa dini zingine zote ni bandia vilevile kwa sababu wana amini kwenye imani bandia zisizo na ukweli wala uthibitisho wowote ule.
 
Imani za uwepo wa Yesu ni imani bandia za kusadikika tu, zisizo na uthibitisho wowote ule.

Kwa hivyo ukristo ni bandia, Pia wakristo na waumini wa dini zingine zote ni bandia vilevile kwa sababu wana amini kwenye imani bandia zisizo na ukweli wala uthibitisho wowote ule
Umejuaje kwamba Ukristo si Imani ya kweli?
 
Back
Top Bottom