MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Basi kama hivyo ndivyo unavyofikiri, wewe ni maskini sana wa fikra na fukara wa uhai.Thamani ya vitu unavyomiliki ikiwa Ni pamoja na pesa ndio utajiri na sio kuwa na afya, tabia njema nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kama hivyo ndivyo unavyofikiri, wewe ni maskini sana wa fikra na fukara wa uhai.Thamani ya vitu unavyomiliki ikiwa Ni pamoja na pesa ndio utajiri na sio kuwa na afya, tabia njema nk.
Kwanza bahati haina nafasi katika maisha, pili wote hatuwezi kuwa matajiri kwani lazima kuwe na madaraja ya kutegemeana ili gurudumu la maisha lisonge.
Kutokuwa tajiri haimaanishi ni ujinga, na kuwa tajiri haimaanishi una akili kubwa kuzidi wengine.
kila mtu ni bora katika sector fulani...tatizo linakuja kwenye kujua ubora wako,..... duniani hakuna BAHATI.... mafanikio ya kiuchumi yanahitaji zaidi ya akili pia maamuzi magumu...
We Yesu unamchujuliaje Mkuu?Mawazo ya kimaskini haya.
A poor man in Africa who has Jesus believes that he is richer than Elon musk...😄
Dini zimepumbaza sana waafrika.
kama wewe ni smart Mathematician au engineer hakuna uhusiano na utajiri moja kwa moja ,hayo ni Mungu aliopanga ,juhudi binafsi nabahati uliopangiwa na mwenyezi Mungu .Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.
Kama unajiuliza kwanini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
Yesu ni fictional character.We Yesu unamchujuliaje Mkuu?
Mimi ni smart na nina akili, Hayo mafanikio mengine unayoyazungumzia ni yapi?
Kwa mfano ukimwamini Yesu na kuamua kuwa mfuasi wake unadhani hakuna utakachokipata kutoka mwake?Yesu ni fictional character.
Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Sasa hayo ni yako wewe, uchumi na fedha kwangu si mafanikio ninayotamani.Mafanikio mengine yanayozungumziwa yanaweza kuwa yale yanayohusiana na maendeleo ya kiuchumi na kifedha, uwezo wa kubadilisha maisha yako au ya wengine kwa kiwango kikubwa kupitia rasilimali, au hata kuanzisha miradi inayosaidia jamii kwa upana zaidi.
Siwezi kuamini kitu ambacho hakipo.Kwa mfano ukimwamini Yesu na kuamua kuwa mfuasi wake unadhani hakuna utakachokipata kutoka mwake?
Wanyweee smart gin watakuwa sawa tuHii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.
Kama unajiuliza kwanini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
Chukulia umelima mahindi huo mwaka ukapata mazao mengi halafu wenzio wakapigwa na ukame bei ikpaa juu ukapiga hela.Kwanza bahati haina nafasi katika maisha, pili wote hatuwezi kuwa matajiri kwani lazima kuwe na madaraja ya kutegemeana ili gurudumu la maisha lisonge.
Kutokuwa tajiri haimaanishi ni ujinga, na kuwa tajiri haimaanishi una akili kubwa kuzidi wengine.
Kwenye maisha yako umewahi kukutana na watu wanaomwamini Yesu katika Roho na Kweli?Siwezi kuamini kitu ambacho hakipo.
Wengi sana.Kwenye maisha yako umewahi kukutana na watu wanaomwamini Yesu katika Roho na Kweli?
Je,una uwezo wa kumjua Mkristo wa Kweli na Mkristo bandia?Wengi sana.
Tukio la kwanza halina maana kwamba mahindi umelima na ukafanikiwa kuuza pekeyako soko nzima, japo wengi wamekosa lakini lipo kundi lililopata. Je hao wote waliopata wana bahati inayo fanana?Chukulia umelima mahindi huo mwaka ukapata mazao mengi halafu wenzio wakapigwa na ukame bei ikpaa juu ukapiga hela.
Misimu ya mvua pia haiji kwa bahati mbaya, wapo wanaoweza kufanya climate forecasting na wakajua kama mvua kubwa zinafata hivyo wakapunguza kipimo cha uzalishajiUmelima mahindi, huo mwaka mvua zakanyesha mazao yakanawiri kila kona, bei ikashuka ukauza kwa hasara.Je hayo matukio yana ashiria bahati au akuli ?
Imani za uwepo wa Yesu ni imani bandia za kusadikika tu, zisizo na uthibitisho wowote ule.Je,una uwezo wa kumjua Mkristo wa Kweli na Mkristo bandia
Umejuaje kwamba Ukristo si Imani ya kweli?Imani za uwepo wa Yesu ni imani bandia za kusadikika tu, zisizo na uthibitisho wowote ule.
Kwa hivyo ukristo ni bandia, Pia wakristo na waumini wa dini zingine zote ni bandia vilevile kwa sababu wana amini kwenye imani bandia zisizo na ukweli wala uthibitisho wowote ule
Kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa huyo kristo Yesu.Umejuaje kwamba Ukristo si Imani ya kweli?
Unataka Yesu mwenyewe akuthibitishie uwepo wake?Kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa huyo kristo Yesu.
Ni hadithi za vitabuni tu zisizo na ukweli wala uthibitisho wowote ule.