Hata huyo unayemuita Mungu mwenyewe hayupo upande wa Mungu.Mkuu nikajua kwa sasa utakua upande wa Mungu.. Kumbe bado una mtizamo ule ule wa kipindi kile cha JK kabla hujatuaga kuelekea kusikojulikana?
cut the bullshit and man up! wewe hapo unaona nimeandika nini? nilichoandika ndicho nilichomaanisha na ndicho ulichokisema ulipokiandika humu jamvini. sasa don't stupidly refute it and answer my question.Unaelewa tofauti ya neno "huna" na una?
Umekusudia kuandika "huna" au "una"?
Kama hujui tofauti ya "huna" na "una" nitapataje hakika kwamba najibizana ma mtu anayejua kusoma?
Kwa nini swali lako linauliza ni nani aliyekupangia na si ni nini kilichokupangia?
Huonibkwamba swali lako lishajielekeza kwenye jibubfulani tayari kabla hata hujapewa jibu, ushaukiza kwa minajili ya "nani" badala ya minajili mipana zaidi ya "nini"?
Unajuaje jibu linatoka kwenye "nani"?
Unajuaje kwamba jibu si "The Second Law of Thermodynamics" ambayo ni "nini" na si "nani"?
Kwa nini unaukiza swali kwa upeo finyu?
Nikikuuliza bendera ya taifa ya Tanzania ni rangi nyekundu ipi utajibu vipi?
Kwa nini swali liwe nani?cut the bullshit and man up! wewe hapo unaona nimeandika nini? nilichoandika ndicho nilichomaanisha na ndicho ulichokisema ulipokiandika humu jamvini. sasa don't stupidly refute it and answer my question: uliposema umepangiwa miaka ya kuishi ni nani huyo aliyekupangia miaka ya kuishi?
Kama wewe unaamini kua mungu hayupo, ipi ni asili ya binadam na viumbe wengine?Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye ameumba ulimwengu huu uliojaa mabaya, hayupo, ni dhana tu, tena dhana potofu inayoweza kuoeshwa kimantiki kwamba inajipinga yenyewe. Ina contradiction.
Kusema Mungu huyo yupo ni sawa sawa na kusema kuna "pembe tatu yenye pembe sita" katika Euclidean plane geometry.
Yani ni kitu ambacho definition yake yenyewe ina mambo mawili yanayojipinga, kwa hiyo hakiwezi kuwepo kiuhalisi.
Mungu huyo anajipinga kama "pembetatu yenye pembe sita"
Angekuwepo, utakatifu wake, ujuzi wake, upendo wake na uwezo wake mkuu, usingeruhusu ulimwengu wenye kuweza kuwa na mabaya mengi kama huu uweze kutokea.
Kama unakubali Mungu huyo yupo, imekuwaje akaruhusu ulimwengu huu uweze kuwepo ilhali una uwezekano wa kuwa na mabaya mengi sana?
Jibu la shetani halitoshi, kwa sababu shetani alikuja baadaye, naongelea uumbaji wa ulimwengu kabla shetani hajakuwepo. Ukisema mabaya yamesababishwa na wanadamu kula tunda bustani ya Edeni, nitakwambia kabla ya binadamu kula tunda Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hawawezi kula tunda, kwa nini hakuumba huo?
Mungu huyo hayupo. Ni hadithi tu.
you are thinking narrowly. why don't you have broad mind and give the entity that limited your the time of your living?Kwa nini swali liwe nani?
Nikikuuliza bendera ya taifa ya Tanzania ni ya aina gani ya rangi nyekundu utajibu vipi?
Mbona swali lako linajielekeza katika jibu fulani hata kabla hujajua jibu nitakalokujibu?
Mbona unalifunga jibu langu katika "nani" wakati jibu si lazima litoke katika swali la "nani" ?
Mbona unaniuliza bendera ya taifa ya Tanzania ni ya aina gani ya rangi nyekundu wakati sijakubali kwamba bendera ya taifa ya Tanzania ni ya rangi nyekundu at all?
Elimu ni chanzo cha kupotea kwa imani ya kweli, embu tuambie asili yako hapa dunianiUnaweza kusemaaliyekwenda kurusha mabomu Syria si Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye utakatifu wote, uwezo wote, upendo wote, angekuwepo, palemwanzo kabisa alipokuwa anaamua kuuumba ulimwengu (kabla shetani, watu, ulimwenguhavijakuwapo) asingejiruhusu kuumba ulimwengu ambao watu wanawezakurushiana mabomu,watoto wachanga wanakufa kwa kufukiwa na kifusi kinachotokana na tetemekokubwa laardhi etc etc.
Ulimwengu huu tunaouona ambao maovu mengi yanaweza kutokea unapingana moja kwa moja na sifa za huyo Mungu mnayemsema yupo.
Kuwepo kwa Mungu huyo, halafu akaumba ulimwengu huu tunaouona ni sawasawa na kuwapo kwa "pembe tatu yenye pembe sita", pembe tatu hiyo yenye pembe sita haiwezi kuwepo kiuhalisia kwa sababu ileile ambayo Mungu huyo hawezi kuwepokiuhalisia.
Logical consistency. Contradiction.
Pembe tatu hiyo yenye pembe sita haina logical consistency.Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.Ina contradiction.
Vivyo hivyo.
Mungu huyo dhana ya kuwepo kwake haina logical consistency. Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.Ina contradiction.
Mungu huyu ni hadithi za kuliwaza moyo na kuwarudisha watu kwenye mstari na kuwa control watu tu, lakini kiuhalisia hawezi kuwepo.
Sijui. Lakini si huyu Mungu.Kama wewe unaamini kua mungu hayupo, ipi ni asili ya binadam na viumbe wengine?
Andika Kiswahili labda utaeleweka. Au rekebisha ulichoandika.you are thinking narrowly. why don't you have broad mind and give the entity that limited your the time of your living?
Anhaa.... nimefanya mistake kwa ku overlook greater than and less than... okey 10 is not less than 9.... i still want to know how you are going to prove god doesnt exist endelea.Nilichoandika kipo sawa?
Unajua kusoma?
Unajua hesabu?
Sasa kama hapo umeona sawa siwezi kushangaa ukiamini contradiction yoyote.
Na tatizo ni kwamba, watu wengi ninaojibizana nao hapa wako kama wewe.
Hawajui hata kuhesabu moja mpaka kumi.
Halafu wanataka kubishana kuhusu uwepo wa Mungu.
Hujajibu swali langu.Anhaa.... nimefanya mistake kwa ku overlook greater than and less than... okey 10 is not less than 9.... i still want to know how you are going to prove god doesnt exist endelea.
Lina contradictionHujajibu swali langu.
Hilo jedwali zima lina logical consistency au halina?
Lina contradiction au halina?
ngoja nichukue ushauri wako.If so, what entity is that according to you?
Nikitumia swali uliloniuliza mwanzo, kwa nini unasema lina contradiction wakati mstari wa kwanza mpaka wa tano hauna contradiction?Lina contradiction
kwa hiyo wazungu wanamonopolize Mungu (creator), huyo Mungu hana ujanja wa kuji reveal kwa watu wa races nyingine.Unajua kwenye bible imeandikwa " Kumcha Mungu ndio chanzo cha maarifa" yani knowledge .And the true knowledge is the one that help you to acquire, maintain and protect power.Mind u wazungu sio wajinga kiasi hicho wakwambie kila kitu kuhusu Mungu aliye wapa maarifa yaliyo wafanya wawe na nguvu za kuutawala ulimwengu. Wakupe siri zao ili na wewe uwe kama wao.Unacho kijua kuhusu Mungu ni kile kilicho achiwa na kukusudiwa kijulikana kwa wale tu wanao stahili kupotoshwa.But kiukweli kabisa u don't no nothing about the creator
wewe unataka kitokee nini ili kikuambie kuwa ameshajireveal? nani kakwambia kuwa wazungu ndio wanamjua Mungu hivyo mpaka wammonopolize?kwa hiyo wazungu wanamonopolize Mungu (creator), huyo Mungu hana ujanja wa kuji reveal kwa watu wa races nyingine.
Wa kwanza mpaka tano hauna contradiction wa tano mpaka kumi una contradiction.Nikitumia swali uliloniuliza mwanzo, kwa nini unasema lina contradiction wakati mstari wa kwanza mpaka wa tano hauna contradiction?
Tatizo linakuja pale mtu anaposhindwa kusoma "kumcha Mungu ni mwanzo wa maarifa" na kudhindwa kuelewa tofauti ya "mwanzo wa maarifa" , "mwisho wa maarifa" na "maarifa".kwa hiyo wazungu wanamonopolize Mungu (creator), huyo Mungu hana ujanja wa kuji reveal kwa watu wa races wengine.
inafaida gani kama dini ya Freemason ni siri, je! tunawezaje ipambanisha na dini zingine ikiwa ni siri ya watu wachache" I know that which thou no not "
Unataka nikithibitishie ili na wewe upate maarifa kama niliyo pata Mimi? Unasema Mungu hayupo kwa sababu dhana yako kuhusu Mungu imekuwa limited kwenye mafundisho ya dini zile " kubwa" mbili ambao hawajui chochote kuhusu Mungu.Study freemasonry and it will be scientifically and alchemically proved to you about the creator of the universe.Otherwise ukitaka niprove kuhusu uchawi naweza hata sasa hivi kwa kukutumia wewe mwenyewe kama case study