Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

hakuna mafundisho ya imani yoyote yanaweza I challenge Injili, hakuna.

1.injili inafundisha mpende jirani yako kama unajipenda.
si free Masonic wala Torati wala Quran inafundisha upendo

2. injili inafundisha akupigaye shavu la kushoto mgeuzie na kulia,
vivyo hivyo si freemason wala Torati, Qur'an inafundisha hivi

mifano ya mafundisho mazuri ya utu, ubinadamu, haki, amani upendo, yanapatikana kwenye injili (evangelism) tu.
 
umefafanua vyema kabisa, kama imani yoyote iwayo haihubiri kutenda wema iwe ya siri au ya wazi ni batili,

Je kama imani inahubiri wema kwanini iwe siri??

tusichanganye. mambo ya maarifa ya kidunia, utajiri vipo pande zote ushetanini au ucha Munguni
 
Umewahi kusoma Dhammapada?
 
Siku moja Mungu wa kabilli atampokea YESU,
Walikuwa waganga wakubwa kama jamali jojoo, nagakale, Hussein mubarak na wote wameokoka. Hata huyu Mungu wa kabili ataweka virago vya uganga chini na atamfwata yesu
 
 
Siku moja Mungu wa kabilli atampokea YESU,
Walikuwa waganga wakubwa kama jamali jojoo, nagakale, Hussein mubarak na wote wameokoka. Hata huyu Mungu wa kabili ataweka virago vya uganga chini na atamfwata yesu
Do u really knows about Jesus?
 
Mkuu nashukuru kwa kuja jamvini mimi mwenzio napenda kufundishwa, naomba unisaidie majibu ya maswali yafutayo free manson wanasemaje kama huyajui useme utaenda kwa mungu wa D.r mungu wa kabili kisha utuletee majibu

1. Vipi freemanson wansemaje kuhusu Yesu?
2. Freemason wanasemaje kuhusu Mungu kuwa na nafsi tatu?
3. Freemanson wanasemaje juu ya mtu akifa? Je ndiyo mwisho au kuna maisha baada ya kifo? Na je kuna sehemu zipo kwa watenda dhambi au wote watakaa sehemu moja

4. Je huyo mungu wa kabili ameoa au?na je ana watoto?
5. Nataka kujua mungu wa kabili amekuambia chochote kuhusu "walokole"?
6. Freemanson wanaelezeaje juu ya watu kutolewa pepo na kuponywa kwa jina la Yesu?
 
Walokole are ignorants.Freemasonry wanamjua Yesu katika namna ya tofauti na ya kipekee sana
Ok, endelea kujibu na maswali mengine mkuu. Ila hili la kusema walokole ni ignorant naomba uelezee ni ignorant katika kitu gani.

Nataka unipe darasa
 

1. Yesu wanamtambua katika namna ya kipekee na tofauti. Plus wanasema baadhi ya sifa za Yesu zimefanana sana na Jua.Vile vile sifa nyingine za Yesu zimefanana na sifa za Yusufu mwana wa Yakobo.
2. Free masons wanaamini katika uwepo wa utatu mtakatifu...

3.Freemason wanaamini katika re incarnation

4.Mungu wa Kabili ameoa ndio na ana watoto ( Vipi unataka kumpa Dada nini? ...Am just joking )

5.Mungu wa Kabili hajaniambia chochote kuhusu walokole kwa sababu sijamuuliza..But kwa mtazamo wangu walokole ni watu wenye " hisia Kali " kuhusu Mungu. Namaanisha " hisia Kali "na sio "imani Kali"

6..Nitamuuliza kuhusu hilo kisha nitaleta mrejesho
 
Ok,endelea kujibu na maswali mengine mkuu.Ila hili la kusema walokole ni ignorant naomba uelezee ni ignorant katika kitu gani.Nataka unipe darasa
Hawajui chochote kuhusu Mungu.Ni kama vile Mungu wa ukweli bado hajafunuliwa kwao.
 
Hawajui chochote kuhusu Mungu.Ni kama vile Mungu wa ukweli bado hajafunuliwa kwao.
Ok,nashukuru hapo tukoa pamoja kwani uliposema wako ignorant nikataka nijue ni eneo lipi. Shukurani,
 
Hawajui chochote kuhusu Mungu.Ni kama vile Mungu wa ukweli bado hajafunuliwa kwao.
Mkuu nitamjuaje Mungu wa ukweli au watu wanaomwamini Mungu wa ukweli nikiona kitu gani kwao kitakuwa ishara kwangu kwamba hawa wanamwamini Mungu wa ukweli?
 
Mkuu umenipa somo nashukuru,ok,usisahau kumuuliza kuhusu swali no.6 lakini tafadhali umwulize na jingine no.7Je mungu wa kabili ana wazazi?(kumbuka umeniambia anawatoto na ameoa).Shukurani
 
Hawajui chochote kuhusu Mungu.Ni kama vile Mungu wa ukweli bado hajafunuliwa kwao.
Mkuu unajua kuhusu walokole ulivyonijibu nikajua ni jibu la mungu wa kabili,kumbe ni jibu lako.Basi naomba umwulize mungu wa kabili jibu lako nashukuru ila mimi nataka nipate majibu ya maswali yangu kutoka kwa mungu wako.Kwa hiyo sasa una maswali jumla matatu ya kumwuliza mungu wa kabili.Tuko pamoja mkuu
 
Hata shetani hua anajifanya mwema,hua hataki kujionesha kua ni shetani
 
Walokole hawajui neno lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…