Hapo namba 4. Kwahiyo Freemason ni dini ya ukweli?Miaka kadhaa iliyopita nilitangaza hapa JF adhima yangu kufanya utafiti kuhusu uchawi na imani za siri.
Safari yangu katika tafiti kuhusu uchawi ilinifikisha kwa Mungu wa Kabili, mganga wa Jadi anaetajwa kama mganga mwenye nguvu kubwa za kiganga kuliko waganga wote wanaopatikana katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki kati na Kusini mwa Afrika.
Nianze kwa kutoa shukurani zangu za dhati kwa Mungu wa Kabili kusema ukweli ameniongoza vizuri sana na kunipa mwanga halisi kuhusu masuala yote yanayo husiana na uganga, uchawi, ulozi, imani za jadi, upagani, imani za kale na imani za siri.
Nirudi kwenye mada yangu kuhusu imani za siri.Dokta Mungu wa Kabili alinieleza kwa kina kuhusu vikundi mbalimbali vya siri duniani ambavyo vinatajwa kuwa na mafundisho ya kiimani ya siri ambayo hujulikana tu kwa memba wao. Vikundi hivyo ni kama Freemasons na Rosecrucians kwa kutaja vichache. Nijikite kwa Freemasons. Mungu wa Kabili aliniambia mambo mengi sana ya kushangaza kuhusu Freemasons.
Kwa ufupi kabisa mambo nillyo jifunza kuhusu Freemasons ni kama ifuatavyo;
1.Freemasons wanafundishwa kuhusu Mungu aliye uumba ulimwengu na namna ya kuishi hapa duniani katika namna impendezayo yeye.Watu wa dini zote wangefundishwa kuhusu Mungu katika namna wanayo fundishwa Freemasons basi dunia ingekuwa sehemu nzuri sana ya kuishi.Mafundisho ya Freemasons kuhusu Mungu yanamchambua Mungu vizuri sana.
2.Freemasons wanafundishwa kuhusu ulimwengu, wanadamu na vitu vyote vilivyo ndani yake vinavyo onekana na visivyo onekana katika namna ambayo watu wa imani nyinginezo hawafundishwi.
3.Freemasons hawaamini kabisa katika black magic kwa hiyo ile dhana ya kwamba eti ukitaka utajiri nenda kajiunge Freemason umtoe kafara nduguyo ni dhana Potofu kutoka kwa watu wasio na ufahamu wowote kuhusu what freemasonry is.
4. Mfumo wa mafundisho ya freemasonry umenifanya nigundue kitu kimoja kwamba dini ya ukweli ni lazima iwe ya siri. Siri hiyo ndiyo inayo wapa waasisi wa dini au imani hiyo kuwa na nguvu dhidi ya watu wengine.
5.Kitu kingine nimegundua kwamba upako wa uhakika unapatikana kwa kujua siri zilizofichwa nyuma ya uwepo wa mambo yasiyo julikana.
Mungu ni stories tu, hakuna anayeweza kuthibitisha yupo.
Mkuu kama unasoma biblia pia imesema majibu yetu yawe ni ndiyo au hapana zaidi ya hayo yanatoka kwa shetani.Wewe nimekuuliza mungu wa kabili ana wazazi unatakiwa kujibu ndiyo au hapana otherwise unaprove wewe ni pure Tanzanian ukiulizwa swali unajibu kwa swali.Unaona shida gani kutoa straight answer,swali hilo inawezekana kwako halina mashiko lakini kwangu lina mashiko,mimi ninayetaka nimjue huyo mungu wa kabili yamkini kama akinipendeza nimfuate unaninyima haki yangu ya msingi ya kujua.Na kama wewe unamwabudu kwa nini hutaki kuwaelezea na wengine wamjue vizuri kabla ya kuamua kumwabudu?
Je mungu wa kabili ana wazazi?Jibu ndiyo anao au hapana hana,save your energy acha maneno mengi mkuu.
Mbona unaniwekea maneno mdomoni mkuu? Mimi nimesema namuabudu mungu wa Kabili ? Inaonekana hiyo Bible huwa inaipapasa kwa maana ungekuwa unaisoma vizuri usingepaswa kubabaishwa na mtu kujiita ama kuitwa " mungu " kwa sababu hata huyo mungu wa Kabili mwenyewe aliempa mamlaka ya kujiita ama kuitwa " mungu" ni Mungu mwenyewe kupitia Zaburi 82: 6Mkuu kama unasoma biblia pia imesema majibu yetu yawe ni ndiyo au hapana zaidi ya hayo yanatoka kwa shetani.Wewe nimekuuliza mungu wa kabili ana wazazi unatakiwa kujibu ndiyo au hapana otherwise unaprove wewe ni pure Tanzanian ukiulizwa swali unajibu kwa swali.Unaona shida gani kutoa straight answer,swali hilo inawezekana kwako halina mashiko lakini kwangu lina mashiko,mimi ninayetaka nimjue huyo mungu wa kabili yamkini kama akinipendeza nimfuate unaninyima haki yangu ya msingi ya kujua.Na kama wewe unamwabudu kwa nini hutaki kuwaelezea na wengine wamjue vizuri kabla ya kuamua kumwabudu?
Je mungu wa kabili ana wazazi?Jibu ndiyo anao au hapana hana,save your energy acha maneno mengi mkuu.
Kwanza kabisa sayansi ni nini?Mkuu kiranga hebu tufafanulie itakua imetumika sayansi gani hapa kwa huyu jamaa mpaka mzigo ukamganda?
Maana hutaki kuamini kuwa ulimwengu wa kiroho upoView attachment 766603
Kwanza kabisa sayansi ni nini?
Unajua Kenya watu wawili wakishikwa wakicheza uchi mchana baada ya kuiba gari, kwa madai kwamba mwenye gari aliweka alarm system ya uchawi kuzuia wezi, wakaiba gari, wakawehuka?
Halafu ikaja kugundulika wamepanga mchezo na mganga mmoja wa kienyeji kutafuta kick?
Hapa umejiridhisha vipi kwamba hakuna mchezo unaochezwa? Au hakuna chemical reaction kati ya kilicho katika gunia na kitu kingine kikatengeneza gundi ya kawaida tu kufanya gunia ligande? Au kitu kingine chochote kinachoweza kuelezewa vizuri tu bila uchawi?
Watu wengi wanataka kukimbilia habari za uchawi bika hata uchunguzi.
Hata babu zetu walivyooneshwa gramophone zinapiga muziki na wazungu, walisema ni uchawi. Kumbe ni sayansi tu ambaye haijaeleweka.
Muandishi wa hadithi za sayansi alisema "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic".
Sasa hapa kabla ya uchunguzi tutajuaje kama huu ni uzushi tu, hii ni sayansi tu au huu ni uchawi?
Polisi wamwtupa maelezo na maonesho gani ya kuturishisha kwamba hapa kuna kitu kisichielezeka kimetokea?
Wametoa demonstration ya kutaka kumtua huo mzigo? Siku hizi kuna simu zenye kamera kila kona. Kuna video inayoonesha wanashinwa kumtua mzigo?
Umetoa maelezo, lakini bado hujaprove kuwa Mungu hayupo naona.
Hoja yako umeijenga kupitia maovu, dhulma n.k yanayotokea duniani huku tunaambiwa Mungu anatupenda sana. Kwanini hajaifanya dunia ikawa salama tu.
Labda utwambie, aliekwenda kurusha mabomu Syria ni Mungu? twende slow slow
Kwahiyo nikitaka kujiunga freemason nafanyaje
Yesu anaweza kutumiwa kuelezea falsafa. Na mtu ambaye haamini Mungu yupo wala haamini Yesu ni Mungu lakini anakubali mafundishobfulani ya Yesu yalikuwa mazuri. Kama mtu. Kama mwanafalsafa.
Falsafa za upendo alizofundisha Yesu sina tatizo nazo.
Nimeongelea mwanafalsafa mwingine, Socrates. Hujamtaja. Nina shaka kama ushawahi hata kumsikia.
Jibubla swali lako ni kwamba, hata nikisema sijui kama tumeumbwa au tumetokeaje, hilo halinifanyi nikose kujua kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu uliojaa maovu, hayupo.
Kama vile ambavyo, sihitaji kujua square root ya 2 kwa ukamilifu ni nini ili kujua kwamba haiwezi kuwa 10.
Kwa sababu gani?
Majibu yote haya, hilo la Mungu huyo kuwapo na la square root ya 2 kuwa 10, yana contradiction, cintradiction inayoonesha uongo.
Kwa hiyo sijui tumetokeaje, lakini kutokujua huko hakunizuii kujua kwamba huyo Mungu ni jibu la uongo. Kwa sababu ana contradiction. Dhana ya kuwepo kwake ina cintradiction.
Jibu la huyo Mungu kuwapo ni sawa na ntu aseme square root ya 2 ni 10, au aseme kuna pembe tatu yenye pembe sita katika Euclidean plqne geometry.
Aliyeanzisha Uzi na wachangiaji wote mnadanganyana hakuna hata mmoja anayejua robo ya ukweli kuhusu Freemasons.....
Endeleeni lakini.... [emoji1] [emoji23]
Tulia wewe....[emoji23]Tujuze basi ewe ‘MJUAJI’
Come again please?Sina hakika kama utafiti huu unatosha kuthibtisha ulichokiandika, Hebu jaribu kuangalia watu waliotumia muda wao kumuelezea Mungu katika vitabu vya dini si kama wewe mkuu uliyekuja na mistari 5 tu, Nina swali kidogo mbona hao wanganga na wajuvi wa hizo secret societies hawaji wenyewe kuzielezea?
Nijibu swali mkuuplease
Ok, let me rephrase, umesema Freemason ni dini, hilo siyo kweli. Regardless on how you would like to refer it to, it is not a religion, period.Inategemea na ukweli ni kitu gani kwako?
It is more of a fraternity. A religion? BIG NO!Ukweli ni nini?