Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu


Hapa kuna utata...

Moja, Freemason hawawezi kukubali ujiunge nao hadi uwe unaamini uwepo wa higher power...Mungu yoyote tu uwe unaamini.

Mbili, wanaoingia humo ni mchanganyiko wa dini za tofauti. Mfano wakristo, waislam, budha, baniani nk. Na wote hao hawaamini Mungu mmoja, yet unasema “wanamchambua Mungu na kumwelezea vizuri, ni Mungu yupi huyo wanaomchambua? Wa waislam au wa baniani? Au ni Mungu wa Miungu wa dini zote? Huyo “Grand architecture”?

Mwishoni, siyo kweli kusema hawakubali uchawi. Lodges huwa zinashirikisha tamaduni nyingine za maeneo husika.
 
Uchawi wanao ukataa ni black magic
 
Wakuu mkipata Muda mkidownload hiki kitabu, mimi nimeanza kukisoma kuna vitu naanza kugundua..
 
Be blessed mkuu
 
Aliye post posti hiyo bila shaka anauelewa mkubwa kuhusu freemason.kifupi freemsn si watu wabaya kama wanavyo pakaziwa nafatilia sana habari hizi freemason ni shilika zuri sana ndio maana ni watu wenye iQ kubwa wanamitizamo chanya ni watu walio fanikiwa kwa kuwaza kutenda na uchumi hawawazi ujinga tunao waza sisi
 
Mpangilio wa dunia ulivyo na ukamilifu wa mifumo ya maisha(ecosystem) inaweza kutia ndani sababu za kuamini uwepo wa Mungu.
 
Katika familia mmoja akijiunga na fremanson ni majanga katiks hiyo familia. Ni kweli kuna mafundisho ya Mungu?
 
Mpangilio wa dunia ulivyo na ukamilifu wa mifumo ya maisha(ecosystem) inaweza kutia ndani sababu za kuamini uwepo wa Mungu.

Ukiangalia kwa juu juu unaweza kuona hivyo.

Lakini mimi sitaki kuwa mtu wa kuangalia vitu kwa juu juu.

Ukiangalia ulimwengu ulivyo, uko so empty, there is a grotesque misuse of space. Yani kama Mungu yupo anawekwa kwenye mtihani wa architecture wa "use of space" kwa objective standard anafeli vibaya sana.

Dunia ina natural disasters nyingi sana, volcanos, tsunamis, earthquakes etc, zinaua watu kibao, wengine watoto achanga, huyu Mungu alishindwa kuumba dunia ambayo haina natural disasters hizi? Hili linaonesha dunia haikuumbwa na Mungu.
 
Of which is possible
I did not say it is impossible, you will need a particle accelerator, so much lead and ridiculous amounts of energy to get an insanely small amount of gold.

Just about as useful as Freemasonry.
 
Mbona kama naona mapicha picha tu upside down
 
nime bofya LIKE
 
Duuh naona majamaa lengo lao linatimia taratibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…