Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Sijajua hao Kunguru wa huko kwenu ila hawa jirani zangu hawana hayo mambo wamepoaKwa watoto wadogo wanaweza kata watoboa macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua hao Kunguru wa huko kwenu ila hawa jirani zangu hawana hayo mambo wamepoaKwa watoto wadogo wanaweza kata watoboa macho
Mbona ndio tunaishi nao hawaepukiki usipokutana nao nyumbani mtakutana barabaraniOgopa sana kunguru wanamagonjwa mengi ..coz wanasafiri umbali mrefu na kula kila Aina ya uchafu
Mariposa ana mapenzi sana na hawa ndege sijui kwa nini ila sio ndege wastarabu kabisa hata ukiwaheshimu hawakueshimu sana sana watakuaibisha kama vile mtoto mwenye malezi mabovuOgopa sana kunguru wanamagonjwa mengi ..coz wanasafiri umbali mrefu na kula kila Aina ya uchafu
Si unajua lakini hao ndege hovyo unawatetea wanakula mayai ya hawa ndege wazuri ?I've rescued this baby bird today, baada ya matone kadhaa ya maji kakapata nguvu na kuruka kurudi kwa familia yake [emoji3059]View attachment 2443212
Yah...mpaka siku utakapoona utofauti. Ndo utaaminiSijajua hao Kunguru wa huko kwenu ila hawa jirani zangu hawana hayo mambo wamepoa
Hapa siyo urusWazo la kuwashughulikia kunguru weusi limenivuta nisome.Baada ya kusoma historia ya uongo kuhusu kunguru hao nasimama hapa hapa mbele siendi.
Wote ni ndege wazuri, wote ni viumbe vya MunguSi unajua lakini hao ndege hovyo unawatetea wanakula mayai ya hawa ndege wazuri ?
Siwezi ona utofauti jamani kwani Kunguru nimeanza kuwajua leo!? [emoji38]Yah...mpaka siku utakapoona utofauti. Ndo utaamini
Ninapoishi kuna Minazi mingi ndio wamefanya makazi yao, nimewawekea maji kwenye chombo maalum baada ya hapo awali kua wanafungua bomba la nje wanakunywa maji na kuacha yanamwagika.
Mabaki ya chakula hua nawawekea sehemu maalum na wakishaniona naelekea hiyo sehemu wanakuja kwa kelele kali hua natafsiri wanafurahi na kuitana, wanabeba na kula kwenye nyumba zao,
Watu wengine wanaona kero makelele yao nikagundua kinachowasumbua ni kiu cha maji.
Yani ulivomalizia hapo chini🤣🤣🤣😂Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja!
Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija!
Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi!
Historia inasemekana wazo la kuleta mbegu ya hawa kunguru weusi lilifanyika katika utawala wa CCM chini ya waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ambapo liligharimu bilion 7.5 Wakiwa na lengo kwamba Kunguru hawa weusi wangesaidia kula uchafu huko mahospitali!
Bahati mbaya maamuzi hayo yalifanyika pasipo utafiti wa kitaalam!
Kundi la kwanza lilimwagwa Zanzibar! Na baadae wakazaliana na wengine walisafili kuja Tanzania bara kwa kudandia meli na majahazi baharini!
Hivi sasa kunguru hawa ni kero kubwa sana kwa taifa na wananchi!
1. Wanapiga makelele baadhi ya makundi mahospitalini
2. Wanachafua mazingira ya miti na kujisaidia ovyo.
3. Wanaharibu miundombinu ya umeme na kusababisha ukosefu wa umeme kwa dharula (wanabeba vipande vya waya wanapotua kwenye nyaya za tanesco wanagonganisha waya transfoma zinazima-KERO)
4. Wanachafua nguo za wananchi zilizoanikwa juani!
5. Wanawasumbua sana walevi na wapenda nyama choma huko bar
6. Wana wanyea mav hasa wanapoona mtu kavaa vizuri hususan MTU akivaa nguo nyeupe au ya kung'aa
7. Wanapokonya chakula watoto wadogo
8. Wanaipua mboga jikoni na kula hata kama ilifunikwa
9. Wakifa Hawaozi haraka
10. Ni hatari kwenye baadhi ya injini hasa maeneo ya uwanja wa ndege
Kiufupi hawa kunguru weusi wana kero nyingi ambazo lazima serikali ifanye mpango mkakati kuwatokomeza kabla hawajaongezeka!
Kama serikali itashindwa basi tenda wapewe wachina watuondolee huu upuuzi unaozidi kuzaliana!
WATU WAZURI HUSHUGHULIKIA KERO ZA WATU ILI WAKUMBUKWE KWA MAZURI NA SI KWA MABAYA
Wanakula kweli vifaranga wa ndege wenzao! Serikali hill nalo wakalitazame! Wizara husika ilete mpango wa kutokomeza hawa kunguruNipo tayari kulipa tozo KUNGURU waondoshwe. Kwa Bahati mbaya sana tukiendelea kuwachekea wakafikia kwenye Mbunga zetu za wanyama watakula ndege wote huko maaana watashambulia Viota vyao na hatimaye tutapoteza Urithi.
Dar es salaam tayari ndege wengine wooooote kunguru ashatafuna na hata akionekana mmoja mmoja atafukuzwa hadi uvunguni akamatwe aliwe. Kwa kifupi hawa Kunguru ni FISI WANAORUKA
AahaaaaaaNinapoishi kuna Minazi mingi ndio wamefanya makazi yao, nimewawekea maji kwenye chombo maalum baada ya hapo awali kua wanafungua bomba la nje wanakunywa maji na kuacha yanamwagika.
Mabaki ya chakula hua nawawekea sehemu maalum na wakishaniona naelekea hiyo sehemu wanakuja kwa kelele kali hua natafsiri wanafurahi na kuitana, wanabeba na kula kwenye nyumba zao,
Watu wengine wanaona kero makelele yao nikagundua kinachowasumbua ni kiu cha maji.
Hapo Kwenye vifaranga dah! wanakula vifaranga vya kuku mpaka nakata tamaa kufuga. Wanabeba mpaka vyombo vya plastic ukiacha kwenye karo njee. Sabuni pia wanabeba. Ni kero kwa kweli .Wanakula kweli vifaranga wa ndege wenzao! Serikali hill nalo wakalitazame! Wizara husika ilete mpango wa kutokomeza hawa kunguru
Wanakera sanaUmeongea kitu muhimu sana mkuu, ni lazima tulinde uasili wetu ndio maana kuingia NZ au Australia wapo makini mno, kuanzia uhamiaji haramu mpaka vitu vya kuathiri uasili wao,pendekezo hizi borders zetu tuunde chombo kimoja cha kuratibu sio sasa kila mtu anafanya kazi independent,
utafiti wa kunguru hawa ulishafanyika miaka kibao nyuma huku na mpaka kukawa na mitego eti wategwe na zawadi kutolewa hasa kwa kiota chenye mayai!pale makumbusho ya taifa watu wakala pesa tu,tuingize eagles 🦅 ambao ni natural enemy wa kunguru,
Hawa watakomesha kabisa tatizo hili, hawa kunguru wametupotezea mno ndege wetu wa asili, Dar vitonga sasa ni adimu mno, shore hamna kabisa
Wanazidi kuhama kuelekea Magharibi ya Tanzania kuwakimbia kunguru weusiHawa kunguru waliletwa Toka Zanzibar, walisema wanasaidia kufanya usafi. Kumbe walikuwa wanatuletea tatizo kubwa, SI kweli waliletwa wakati Lowassa yupo madarakani kwani walikuja mapema zaidi.
Kilikuwa na kunguru wenye ufito mweupe lakini Sasa hivi wametoweka kabisa.