Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Hicho wanchofanya ni more dangerous zaidi, Bora wangewakamata wakati wa maandamano.

Inanikumbusha story moja " Kuna baunsa mmoja alikua ananyanyasa wanakijiji. Siku moja akatokea kijana mdogo tu akamwambia kesho saa Saba mchana nitazibinya pumbu zako mpaka ulie" Sasa Yule baunsa akaanza kumkimbiza Yule kijana.

Kijana akakimbilia nyumbani kwa babu yake " babu akamuliza baunsa kulikoni unakimbizana na mtoto" Baunsa akajibu mjukuu wako kasema kesho atanibinya pumbu" Babu akamuliza kwani kesho imefika? Kwa ameshakubana pumbu? Baunsa akamjibu hapana.

Babu akamwambia Baunsa subiri kesho akikushika Kama alivyoahidi ndio umkamate umtie bakora.

Hadhithi inatufundisha tusiwe tunaweza mechanically/ robotically, na Kuna wakati subira huvuta heri.

Hatukujifunza wakati wa Maandamano ya Mange Kimambi?
 
Polisi wame-panic. Itakula kwao. Wanaoandamana siyo Mbowe, Lema, Lissu, Zitto, Maalim, Bony wala Mazrui. Ni Kaumu ya wananchi walioibiwa kura zao. Ni hii ngoma imesukwa vizuri. Kwamba ni maandamano yasiyokuwa na kikomo.

Ni maandamano ya amani hadi kieleweke. Ki msingi, kuwaweka viongozi ndani ndio kukoleza maandamano yenye fujo. Burasa isipotumika, tusubiri yatakayofuata. Tumekwisha kusoma statements za UK, US, Canada na kwingineko.
 
Mm nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu​
Acha basi mikwara ya mbuzi, vijana wote hao utawalisha kwenye maandamano au umewapa per diem
 
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA...
Hao wanatukera sana, nadhani siyo kuwashikilia tu hata mkiamua muondoke nao moja kwa moja. Watanzania zaidi ya milioni 50 ni muhimu kuliko watu hao watatu. Kwa sababu kuchoma vituo vya mafuta ni zaidi ya siasa, ni ugaidi. Kama wapo mashekhe ambao wapo ndani kwa tuhuma tu za ugaidi na wakati hawa ushahidi wao unaanza kutolewa waziwazi, basi isiwe shida nao hao kusukumwa wapotelee huko au vinginevyo.

Nduguzanguni unaposhindwa uchaguzi unarudi kujipanga upya kwa uchaguzi mwingine. Mbona nyinyi mlishinda huko nyuma, mkaongoza majimbo miaka 5 au 10 na mliwashinda wengine nao wakarudi nyuma kjipanga? au mliandikiwa na Mungu mkae nyinyi tu? Mtu kama Mbowe anaheshimika sana na watanzania wengi sasa ni kitu gani kinakupata Mbowe mpaka uunganishwe na wahuni wasio na maadili?
 
Kwann Jiwe ameamua kujipigia kura feki. Akalime naye kule porini kwake Chato!
Ubunge sio nafasi ya milele ukiamua kuwa Mbunge inabidi ufanye kazi ya Wananchi wamekutuma pesa za ruzuku zikawa za familia. watulie walime ikiwashinda kuna vitambulisho vya elfu 20K wakachukue maisha yaendelee. na nyie wote.. 20K tu.. mkikosa muombeni Rais mpendwa msaada.. ni Rais wa Wananchi na tumemchagua tena.

Magufuli oyeeeee 💛 💚 💛 💚 💛
 
pole sana kijana, kesho hakuna atakaye andamana
Endelea kuandamana kwa kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamii.

Polisi wenzako washaanza kuandamana kutuwinda. Wanapita kwenye magesti mabaa na maeneo ya stendi usiku huu. Wanatuogopa polisi!

Wamenikuta zangu hapa gesti nimewajibu kunya hawatanisahau
 
Back
Top Bottom