Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Nafikiri Polisi wamekuwa proactive na harakati za Godbless Lema ambae ameona arudi kwenye zile shughuli zake za zamani.

Maandamano ya amani na kuchoma vitu ni mambo mawili tofauti.
Wangeachwa waandamane.

Na kama wakifanya vurugu, basi na wakamatwe.

Huwezi kumkamata raia kwa kosa ambalo hajafanya au kosa ambalo wewe unadhani atalifanya.

Unamkamata mtu kwa kosa ambalo kalifanya.

Si vinginevyo.
 
Alaaniwe mtu aliyeleta demokrasia na mfumo wa vyama vingi barani africa
Bora demokrasia mkuu unapambana na watu majukwaani huku unawaona kuliko kuzuia wapinzani wa majukwaani ili uzalishe waasi ambao watapambana nawe kwa kukuvizia na kukimbilia msituni.​
 
Wangeachwa waandamane.

Na kama wakifanya vurugu, basi na wakamatwe.

Huwezi kumkamata raia kwa kosa ambalo hajafanya au kosa ambalo wewe unadhani atalifanya.

Unamkamata mtu kwa kosa ambalo kalifanya.

Si vinginevyo/
Tusiwadharau hivyo polisi wetu.

Wanayo intelligence na wamepewa taarifa ya mipango yote.

Hiyo ipo hata huko USA na kwingine mtu anakamatwa tu kwa kusoma kitabu cha mwongozo wa kuleta terror na vikosi vya kijasusi.

Inawezekana kabisa polisi wanazo credible information zaidi ya petroli na viberiti.
 
Wewe utaingia huo ugaidi. Kumbuka JF wanatakiwa kutoa taarifa kwa serkali kuhusu watu kama wewe wanaotaka kuanzisha vikundi vya kigaidi ili kuvunja amani. Nafikiri hadi Melo au ana jina gani ameishachukuwa jina lako kwa sababu wewe sasa hujadili mjadala wa kawaida bali unahamasisha uvunjaji wa amani. Je umeandisha vijana wangapi wa kujitolea kufa ili wewe upate uongozi?
Wewe inaonekana kwenye jamii inayokuzunguka una tabia za kimbea mbea na kukuza maneno bila hata kuelewa msingi wa hoja ni nini.

Jifunze kufuatilia mambo na kuyaelewa sio unatikisa matako na kutengeneza maneno yasiyokuwepo.
 
Tusiwadharau hivyo polisi wetu.

Wanayo intelligence na wamepewa taarifa ya mipango yote.

Hiyo ipo hata huko USA na kwingine mtu anakamatwa tu kwa kusoma kitabu cha mwongozo wa kuleta terror na vikosi vya kijasusi.

Inawezekana kabisa polisi wanazo credible information zaidi ya petroli na viberiti.
Kuna wakati polisi wetu wanakuwa na weredi na kuna wakati wanakurupuka
 
Sidhani kama lolote baya nyuma ya pazia.

Wao kusema wanataka kuandamana kwa amani si kosa.

Na kuandamana kwa amani ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania.

Wawaache waandamane. Endapo wakianza kufanya fujo, basi kama na piga virungu vya ugoko.

Lakini wakiandamana kwa amani, hakuna ubaya wala kosa.
Kama wamepanga kuchoma vituo vya mafuta kweli uwaachie mpaka wachome ndiyo uwakamate mkuu!!
 
Back
Top Bottom