Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Unataka niiwekeje hiyo kazi ya polisi?
Nyani bana kazi ya Polisi hufahamu, sasa utasemaje waachwe waandamane? Maandamano ndio wamesema lakini Polisi wameshabaini kuna mambo ya kulipua vituo vya mafuta nk. usifikiri Polisi ni wajinga ki-hivyo.
 
Mkuu NN with due respect, acha mzaha.

Mambosasa amesema mwenyewe kwanini jamaa wamekamatwa.

Kama wamachinga na waendesha bodaboda nao wapo tayari kujibu mapigo kuitetea serikali wadhani hapo kuna usalama wa raia na mali zao?
Achana na huyo Nyani Ngabu hajui kitu anakusumbua tu yeye yuko US anataka asikie sisi huku watz wanakufa ovyo kwa sababu ya wajinga wachache!
 
Maandamano ni ruksa bila kibali?

Kama kibali ni lazima, Je waandamanaji wanacho kibali?

Kama hawana, kutekeleza jambo nje ya utaratibu, kuna viashiria vya amani hapo?
Sawa, hata kama kinahitajika kibali, lakini hao waliokamatwa hawajaandamana.

Endapo wangeandamana bila kibali, hapo walau ningeweza kuelewa.

Kwani wamekamatwa wakiwa wanaandamana bila kibali?
 
Kwani nani kapanga kuchoma moto vituo vya mafuta?

Mbowe na Lema wapange kuchoma vituo vya mafuta ili iweje?

Wana ugomvi na wenye vituo vya mafuta?

Acheni kutetea uonevu.
Naona nachati na mbumbumbu!
 
Sawa, hata kama kinahitajika kibali, lakini hao waliokamatwa hawajaandamana.

Endapo wangeandamana bila kibali, hapo walau ningeweza kuelewa.

Kwani wamekamatwa wakiwa wanaandamana bila kibali?
Njoo na wewe ukamatwe mbumbumbu mkubwa!!
 
Nyani bana kazi ya Polisi hufahamu, sasa utasemaje waachwe waandamane? Maandamano ndio wamesema lakini Polisi wameshabaini kuna mambo ya kulipua vituo vya mafuta nk. usifikiri Polisi ni wajinga ki-hivyo.
Nani alipue vituo vya mafuta? Na vituo vya mafuta vilipuliwe kwa minajili gani? Vituo vya mafuta ndo vimeiba kura?
 
Nani alipue vituo vya mafuta? Na vituo vya mafuta vilipuliwe kwa minajili gani? Vituo vya mafuta ndo vimeiba kura?
That is classified information,if you read between the lines. Sasa kama wewe hupendi shauri yako.
 
Wangekua wanatumia nguvu nyingi hivyo kupambana na magonjwa,ujinga tungekua mbali sana..
 
Kuniita mimi mbumbumbu hakufanyi uwe na hoja.

Unalazimisha tu.
Kwa sababu hutaki kuelewa bali unabisha tu. Tunakueleza kuwa kupanga kufanya uharifu ni kosa pia RPC amesema kuwa machinga na bodaboda wamepanga kuwashambulia watakaoandamana. Sasa wewe unataka mpaka watenge uhalifu wa kuchoma ndiyo wakamatwe. Lakini cha kujiuliza hawa wote yaani Lema na Mbowe majimbo yao yako Kilkmanjaro lakini wanataka wafanye uvunjifu Dar.
 
Nani alipue vituo vya mafuta? Na vituo vya mafuta vilipuliwe kwa minajili gani? Vituo vya mafuta ndo vimeiba kura?
Sasa USA walipowatuhumu USSR kutumia mitandao na wakaamka na Trumpet umeona madhara yake. Tanzania sio wajinga wameshafanya yao, mlevi wa konyagi na kundi lake lote ndani kama hupendi kajinyonge.
 
Hao wanatukera sana, nadhani siyo kuwashikilia tu hata mkiamua muondoke nao moja kwa moja. Watanzania zaidi ya milioni 50 ni muhimu kuliko watu hao watatu. Kwa sababu kuchoma vituo vya mafuta ni zaidi ya siasa, ni ugaidi. Kama wapo mashekhe ambao wapo ndani kwa tuhuma tu za ugaidi na wakati hawa ushahidi wao unaanza kutolewa waziwazi, basi isiwe shida nao hao kusukumwa wapotelee huko au vinginevyo...

We huo ushahidi umeona ni hakimu wewe ujinga tu unaoongea Yaani hii nchi kuna watu wanadhani wana uhai kuliko wenzao hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi katiba sura ya 20 inatoa uhuru wa wananchi kuandamana kwa interest au sababu yoyote. Wewe ni nani wa kushabikia kukamatwa kwa viongozi kwa sababu wanataka kuandamana halafu wanasingiziwa sijui kulipua visima ili iweje.

Kwanini vyombo vya dola vinapenda kuonea raia kila siku kuongeza asira kwa raia. Sababu ya nyie wajinga wachache kama msingekuwepo kusingekuwa na huu ujinga unaoendelea
 
Kwa sababu hutaki kuelewa bali unabisha tu. Tunakueleza kuwa kupanga kufanya uharifu ni kosa pia RPC amesema kuwa machinga na bodaboda wamepanga kuwashambulia watakaoandamana. Sasa wewe unataka mpaka watenge uhalifu wa kuchoma ndiyo wakamatwe. Lakini cha kujiuliza hawa wote yaani Lema na Mbowe majimbo yao yako Kilkmanjaro lakini wanataka wafanye uvunjifu Dar.
Mbowe na Lema ni Watanzania na wana haki ya kufanya chochote kile kilicho halali ndani ya mipaka ya Tanzania.

Hizo habari za vurugu ni kisingizio tu cha polisi katika kutaka kuhalalisha udhalimu wao.
 
We huo ushahidi umeona ni hakimu wewe ujinga tu unaoongea Yaani hii nchi kuna watu wanadhani wana uhai kuliko wenzao hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi katiba sura ya 20 inatoa uhuru wa wananchi kuandamana kwa interest au sababu yoyote. Wewe ni nani wa kushabikia kukamatwa kwa viongozi kwa sababu wanataka kuandamana halafu wanasingiziwa sijui kulipua visima ili iweje. Kwanini vyombo vya dola vinapenda kuonea raia kila siku kuongeza asira kwa raia. Sababu ya nyie wajinga wachache kama msingekuwepo kusingekuwa na huu ujinga unaoendelea
Hata wewe tunatamani usiwepo kabisa kwa sababu ya ujinga wako huo.
 
Mbowe na Lema ni Watanzania na wana haki ya kufanya chochote kile kilicho halali ndani ya mipaka ya Tanzania.

Hizo habari za vurugu ni kisingizio tu cha polisi katika kutaka kuhalalisha udhalimu wao.
Sasa wamekamatwa nenda kawatoe wewe!
 
Polisi wame-panic. Itakula kwao. Wanaoandamana siyo Mbowe, Lema, Lissu, Zitto, Maalim, Bony wala Mazrui. Ni Kaumu ya wananchi walioibiwa kura zao. Ni hii ngoma imesukwa vizuri. Kwamba ni maandamano yasiyokuwa na kikomo. Ni maandamano ya amani hadi kieleweke. Ki msingi, kuwaweka viongozi ndani ndio kukoleza maandamano yenye fujo. Burasa isipotumika, tusubiri yatakayofuata. Tumekwisha kusoma statements za UK, US, Canada na kwingineko.
Wanaumia kuukosa ubunge ,maandamano yakitokea watu wakawa wengi hasa basi ujue Magufuli hatukumchagua ila nijuavyo mimi Magufuli kapata kura nyingi sana ila kama figisu zilitokea ni ngazi ya Ubunge kama hawakumtaka wengi ndio wanaweza watu wake kuandamana ila sio kwa sababu Lissu kaibiwa hiyo ni Big No ngoja pakuche utashuhudia.
 
Back
Top Bottom