Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu,Tufanye nakubaliana na wewe...
Pia tukubaline moja ya athari za maandamano yeyote ni kutengeneza unsettlement... Kuna watu hawatofanya shughul za uchumi kupisha maandamano...
Na hapo Mkuu unazangumzia maandamano ya bila kikomo...
Indirectly unaishauri serikali itenge bajeti ya kumonitor maandamo ya bila kikomo?
Unaelewa maandamano ni haki ya kikatiba?
Unataka kuwanyima watu haki ya kikatiba kwa sababu wengine watapoteza nafasi za kufanya shughuli za uchumi?
Yani polisi wameshindwa kuwapangua hao wapinzani njia ya kufanya maandamano na kutangaza ili watu wajipange kufanya shughuli zao vizuri?