Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Watatoka tu.Sasa wamekamatwa nenda kawatoe wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watatoka tu.Sasa wamekamatwa nenda kawatoe wewe!
Inakuwaje kisingizio wakati walitangaza hadharani?Mbowe na Lema ni Watanzania na wana haki ya kufanya chochote kile kilicho halali ndani ya mipaka ya Tanzania.
Hizo habari za vurugu ni kisingizio tu cha polisi katika kutaka kuhalalisha udhalimu wao.
Walitangaza hadharani nini? Kuwa Jumatatu watachoma moto vituo vya mafuta?Inakuwaje kisingizio wakati walitangaza hadharani?
Sisi hatutaki vujo watoke wasitoke siyo kazi yetusisi tunataka amani fullstop.Watatoka tu.
kwisha habari yenuHii ndio Taarifa mpya kwa sasa .
Taarifa zaidi zitaendelea kutiririka .....
Tanzania is a police state.Mipango gani?
Watu wamesema wanataka kuandamana.
Kuandamana ni marufuku Tanzania hii?
CHADEMA siyo maghaidi. Ni chama halali cha kisiasa.
Sidhani kabisa kama wanaweza kupanga njama za kuleta uharibifu wa mali na amani ilhali wanachama wao na mashabiki wao ni Watanzania pia.
Hizo ni intel. Sasa unataka iwe kama Marekani likaa tu mpaka walipoanza kuvamia supermarkets na kuua ndiyo wakatoka Wanajeshi kutuliza hiyo ilikuwa too late.Walitangaza hadharani nini? Kuwa Jumatatu watachoma moto vituo vya mafuta?
Nimaoni yako.Tanzania is a police state.
Thubutuuu, mfupa huu ulimshinda Mange na alikua kafanya matayarisho ya zaidi ya miezi 3Kesho tutawatoa kwa maandamano
Katika muktadha wa maandamano, unawaacha watu waandamane.Ni kweli, wamekamatwa kabla ya maandamano yaliyopangwa kufanywa bila kibali...
Mkuu unadhani, njia bora ya kudhibiti tatizo ni ipi kati ya hizi..
CCM ichokwe na nani wakati imeshinda kwa kishindo mkuu!Hapo ndo wanachochea mafuta kwenye Moto. CCM mmechokwa mkubali jamani
It’s hard to argue that it’s not a police state.Tanzania is a police state.
🤣🤣Shoga mkubwa wewe! Unapigwa mti wewe.
Hao wanaoandamana kama hawajaomba kibali cha kuandamana utawalinda vipi?Katika muktadha wa maandamano, unawaacha watu waandamane.
Lakini pia, unaweka ulinzi wa hali ya juu sehemu zote zenye maandamano...
Kama hawajaomba kibali, waombe.Hao wanaoandamana kama hawajaomba kibali cha kuandamana utawalinda vipi?
The worst thing is, by being this paranoid, the state is actually undermining itself.It’s hard to argue it’s not a police state.
As a matter of fact, I have argued it is a police state.
Take a trip down memory lane.
A Police State
What is a police state? Per the Oxford Learner's Dictionary, a police state is a "country where people’s freedom, especially to travel and to express political opinions, is controlled by the government, with the help of the police." Now, given what is currently going on since Magufuli's...www.jamiiforums.com
Ndo maana nikasema kuwa, wanaweza kupangiwa eneo au maeneo ya kuandamania ili wasilete kero au usumbufu kwa wengine.Tufanye nakubaliana na wewe...
Pia tukubaline moja ya athari za maandamano yeyote ni kutengeneza unsettlement... Kuna watu hawatofanya shughul za uchumi kupisha maandamano...
Na hapo Mkuu unazangumzia maandamano ya bila kikomo...
Indirectly unaishauri serikali itenge bajeti ya kumonitor maandamo ya bila kikomo?
Sikiliza clip ya pili kabla ya maandamano unatakiwa uombe kibali masaa 48. Wao wametangaza maandamano within 38hrs wanataka waingie barabarani. Wao walikuwa Wabunge ndio wanafahamu hizi sheria sasa inakuwaje wao ndio wanakuwa wa kwanza kuzivunja.Kama hawajaomba kibali, waombe.
Wafuate taratibu zilizopo.
As simple as that.