uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,084
Nasubiri kesho jioni nione utakuwa umeandika nini humu ndani.Mhuni Ni yule aliyewatuma baada ya kuiba kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri kesho jioni nione utakuwa umeandika nini humu ndani.Mhuni Ni yule aliyewatuma baada ya kuiba kura.
Mbele ya pazia kuna nini? Kwa nini tuangalie nyuma wakati mbele bado?Unajua kilicho nyuma ya pazia au?
Tuwaache wafanye kazi yao... wananchi tunataka kuishi kwa amani sio kuchafuliwa amani nchini...
Mhuni Ni yule aliyewatuma baada ya kuiba kura.
Si kila jibu liwe na matokeo...Si kila kinachoulizwa unatakiwa kukijibu , utaumbuka .
Nitarusha selfie za kufa mtu. Nyimbo za ukombozi kama zote.Nasubiri kesho jioni nione utakuwa umeandika nini humu ndani.
Usitake kujua siri yetu
Jibu unalo.Ulikuwa wapi wakati wanaiba?
Weka kuonyesha uemuona akiyafanya hayo.. wengi asilimia kubwa nyie ni mmebwana na kusomeshwa namba...mnatumia hayo maneno ya ajabu na kutunga kama vile nchi hii hayo hayajawahi kuongelewa...Huyu huyu anayeuwa, kuteka na kufilisi watu??
Kuelekea wapi?Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu
Kwanini isiwe leo?Kesho tutawatoa kwa maandamano
Wapi Ben Saa8?namba...mnatumia hayo maneno ya ajabu na kutunga kama vile nchi hii hayo hayajawahi kuongelewa...
Nafikiri Polisi wamekuwa proactive na harakati za Godbless Lema ambae ameona arudi kwenye zile shughuli zake za zamani.Hivi Mambosasa ana akili timamu ?
Sidhani kama lolote baya nyuma ya pazia.Unajua kilicho nyuma ya pazia au?
Tuwaache wafanye kazi yao... wananchi tunataka kuishi kwa amani sio kuchafuliwa amani nchini...
ndio unajua leo ? endelea kulamba nyayo zao , mnafiki mkubwa wee !Hawa Polisi nao wajinga tu.Sasa ndo naelewa kwa nini waliokuwa wanafail ndo walikuwa wanakwenda polisi na ualimu. Hii yote ilikuwa kuandaa Taifa la ndiyo mzee kwa waliowateuwa.