Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Unajua kilicho nyuma ya pazia au?

Tuwaache wafanye kazi yao... wananchi tunataka kuishi kwa amani sio kuchafuliwa amani nchini...
Mbele ya pazia kuna nini? Kwa nini tuangalie nyuma wakati mbele bado?
 
Usitake kujua siri yetu
Maandamano yanahitaji bajeti wewe unadhani mtu atatembea kuanzia asubuhi huku anaapiga kelele bila kupata hata chai, maji, supu, huduma ya kwa anayeumizwa.

Wakubwa zenu wamewekwa holding room Sasa nyie mtapigwa virungu tuu.
Hivi ulishwahi kupigwa kwenye maandano mpaka ukahisi kuugua lakini ukienda hosipitali kupimwa ugonjwa hauonekani.​
 
A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Huyu huyu anayeuwa, kuteka na kufilisi watu??
Weka kuonyesha uemuona akiyafanya hayo.. wengi asilimia kubwa nyie ni mmebwana na kusomeshwa namba...mnatumia hayo maneno ya ajabu na kutunga kama vile nchi hii hayo hayajawahi kuongelewa...

Tanzania ya Magufuli ni ya maendeleo na hakun alingine.. wezi nyie wote wa kupenda vya shoti kati.. mkachukue vitambulisho 20K..acheni uvivu kabisaaaaa

kwanza munyoooke sio wasilipa kodi... meno yatasagika tu.. mlizidi wizi... Magufuli oyeeeeeeee
na bado... muache uongo kisa mpate Rais wa kusukuma mumulalie...

na bado saga meno na hizi pia 💉 💉 💉
 
Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu
Kuelekea wapi?
 
namba...mnatumia hayo maneno ya ajabu na kutunga kama vile nchi hii hayo hayajawahi kuongelewa...
Wapi Ben Saa8?
Azory Gwanda?
Kabendera?
Mo?
Ney wa Mitego
Roma?
Rugemarila?
Manji?
Seth?
.....
...
List Ni ndeefu sana
 
Hivi Mambosasa ana akili timamu ?
Nafikiri Polisi wamekuwa proactive na harakati za Godbless Lema ambae ameona arudi kwenye zile shughuli zake za zamani.

Maandamano ya amani na kuchoma vitu ni mambo mawili tofauti.
 
Unajua kilicho nyuma ya pazia au?

Tuwaache wafanye kazi yao... wananchi tunataka kuishi kwa amani sio kuchafuliwa amani nchini...
Sidhani kama lolote baya nyuma ya pazia.

Wao kusema wanataka kuandamana kwa amani si kosa.

Na kuandamana kwa amani ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania.

Wawaache waandamane. Endapo wakianza kufanya fujo, basi kama na piga virungu vya ugoko.

Lakini wakiandamana kwa amani, hakuna ubaya wala kosa.
 
Back
Top Bottom