Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,765
Nalipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri, ya kuwakamata hao wahuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maagizo kutoka kwa Magufuli lazima tuyatekeleze, nyie chadema mnachochea social unrestThis is very unnecessary.
They should free them ASAP with no conditions.
Na jeshi la polisi litaendelea kuwakamata hao wahuni ma losersHii ndio Taarifa mpya kwa sasa .
Taarifa zaidi zitaendelea kutiririka .....
Ubungo. Unasemaje??Kuelekea wapi?
Asante mimi mnafki nikiwa against Chadema, ila nikiwa against CCM mimi sio mnafiki.ndio unajua leo ? endelea kulamba nyayo zao , mnafiki mkubwa wee !
Saa hizi tunafanya mobilization. Si unaona tunamtesa Mambosasa?Kwanini isiwe leo?
Ubungo kuna kitu gani?Ubungo. Unasemaje??
Wangeachwa waandamane.Nafikiri Polisi wamekuwa proactive na harakati za Godbless Lema ambae ameona arudi kwenye zile shughuli zake za zamani.
Maandamano ya amani na kuchoma vitu ni mambo mawili tofauti.
Alaaniwe mtu aliyeleta demokrasia na mfumo wa vyama vingi barani africa
Mobilisation hapa Jf?Saa hizi tunafanya mobilization. Si unaona tunamtesa Mambosasa?
Tusiwadharau hivyo polisi wetu.Wangeachwa waandamane.
Na kama wakifanya vurugu, basi na wakamatwe.
Huwezi kumkamata raia kwa kosa ambalo hajafanya au kosa ambalo wewe unadhani atalifanya.
Unamkamata mtu kwa kosa ambalo kalifanya.
Si vinginevyo/
Hata wewe nafikiri watakufikia si muda mrefu!Mambosasa yupo live ITV usiku huu akisema amewakamata Mbowe, Lema na Jacob kwa kuhamasisha maandamano.
Hii haitarudisha nyuma morali wa waandamanaji.
----
Wewe inaonekana kwenye jamii inayokuzunguka una tabia za kimbea mbea na kukuza maneno bila hata kuelewa msingi wa hoja ni nini.Wewe utaingia huo ugaidi. Kumbuka JF wanatakiwa kutoa taarifa kwa serkali kuhusu watu kama wewe wanaotaka kuanzisha vikundi vya kigaidi ili kuvunja amani. Nafikiri hadi Melo au ana jina gani ameishachukuwa jina lako kwa sababu wewe sasa hujadili mjadala wa kawaida bali unahamasisha uvunjaji wa amani. Je umeandisha vijana wangapi wa kujitolea kufa ili wewe upate uongozi?
Huoni wanavyokupelekesha hata kulala hulaliPolisi bhana, ukiwakuta vyuo wanafuta vielimu vya kuunga wanavyoteseka, vichwa plain kbsaa!!
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kuna wakati polisi wetu wanakuwa na weredi na kuna wakati wanakurupukaTusiwadharau hivyo polisi wetu.
Wanayo intelligence na wamepewa taarifa ya mipango yote.
Hiyo ipo hata huko USA na kwingine mtu anakamatwa tu kwa kusoma kitabu cha mwongozo wa kuleta terror na vikosi vya kijasusi.
Inawezekana kabisa polisi wanazo credible information zaidi ya petroli na viberiti.
Kama wamepanga kuchoma vituo vya mafuta kweli uwaachie mpaka wachome ndiyo uwakamate mkuu!!Sidhani kama lolote baya nyuma ya pazia.
Wao kusema wanataka kuandamana kwa amani si kosa.
Na kuandamana kwa amani ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania.
Wawaache waandamane. Endapo wakianza kufanya fujo, basi kama na piga virungu vya ugoko.
Lakini wakiandamana kwa amani, hakuna ubaya wala kosa.