Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Raisi yupo kwa Mujibu wa katiba yetu kwa awamu ya mwisho akiongeza ndio urudi hapa ,ila kwa sasa hakuna wakumtoa yupo ndani ya katiba.
 
Eti vijana wavuta bangi! Imenikumbushia Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
Unaifananisha Tanzania na Libya? Kisa Mbowe,Lema ,Mdee na wewe mmekosa ubunge?. Libya
Mh... Kwa hiyo hapa Tanzania ukipotea polisi hawawezi kukupeleka unapotakiwa kwenda? Hata kama polisi wanamapungufu huu mfano ni wa hovyo kabisa.
 
Mfano wa hovyo? Police ipi unayozungumzia wewe ile inayosema mtu kajiteka? Mara mtu kachoma ofisi yake kutafuta kiki! Pole sana tembea uone dunia ikoje na ukutoke ujinga juu ya yanayoendelea ulimwenguni
 
Hujajibu hoja yangu.
 
Nadhani hukuelewa maana ya bandiko langu ni kuwa police wa tz hawako friendly u can imagine police wanatetea chama tawala kuliko maslahi ya umma nimekupa matukio mawili hapo hayo uliona serikali imetolea tamko? Unafikiri huku nchi za wenzetu police wanatumika kisiasa kama bongo huko ndio maana wapinzani hawana imani na police na police hawana imani na wapinzani ndio maana ni ngumu kuitenganisha police na ccm
 
Kuna mtu mzima anaweza kuongea kitu mpaka ukaona hakuna sababu za msingi kuwa mtu mzima na wakati mwingine ukaona kabisa hakuna sababu ya kusoma shule.
 
Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu.
Vipi upo wapi sijakuona kwenye maansamano?
 
Ulikwa hujaniuliza swali! Kudhamiria kufanya maandamano bila kibali
Kudhamiria ni kosa?

Unapimaje kudhamiria?

Je, mtu akidhamiria kuandamana halafu akaahirisha dakika ya mwisho napo amefanya kosa?

Unajuaje huyu kadhamiria na huyu hajadhamiria?

Unahakikishaje wameshikiliwa kwa haki na si kisiasa?

Kesi ya kudhamiria unawezaje kuthibitisha Polisi hawawabambikii watu dhamira za uongo?

Unaweza vipi kumzuia Polisi anayekuchukia kukuzushia kesi ya kudhamiria kuiba wakati huna dhamira hiyo?
 
mtu anaongea ametoa macho, amejaa uongo mwili mzima,sijui anasali kanisa gani au msikiti gani.
 
Hearsay evidence is not admissible until further corraboretion
How are u going to convict an accused person through hearsay
 
Unaifananisha Tanzania na Libya? Kisa Mbowe,Lema ,Mdee na wewe mmekosa ubunge?. Libya

Mh... Kwa hiyo hapa Tanzania ukipotea polisi hawawezi kukupeleka unapotakiwa kwenda? Hata kama polisi wanamapungufu huu mfano ni wa hovyo kabisa.
Subiri utakuja kuniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…