Matunda _Kuniga
JF-Expert Member
- Jun 2, 2019
- 231
- 178
Raisi yupo kwa Mujibu wa katiba yetu kwa awamu ya mwisho akiongeza ndio urudi hapa ,ila kwa sasa hakuna wakumtoa yupo ndani ya katiba.Vita ndogo sana,kikubwa serikali hii inachoweza kuwafanyia wapinzani ni kuwaweka jera kwa muda,hawawezi kuwapiga risasi na kuwaua,
Mandela,alifungwa na makaburu,wangeweza kumuua huko gerezani,akatoka akawa raisi wa nchi.
Mijitu Kama Ghadafi,Hussein mubarak,Omar albashir,Mugabe,kamuzu banda,Bagbo,hawakutegemea Kama Kuna siku watatoka Madarakani,yapo wapi?