Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Mambo Sasa atatafuta cheo kwa nguvu huyu jamaa, alafu ht sio mfanyaji kaz mbabaishaji tu kaz kupga domo ktk media kl siku IL aonekane
 
Sasa ni officially tumeingia kweny udikteta rasmi.... tusilalamike tena, nawashauri wapinzani wanyamaze wasiendelee tena kupambania Demokrasia. Acha wote tuje kuongea lugha moa mbeleni. Nyerere alisema siku watanzania mkifikia kusem 'maweeeee' hapo ndipo tutajua kuwa tunaumia.... im done
 
Wame anza kuingilia mambo ya mahakama[emoji28]bongo nyoso
 
Wangeacha waandamane kuondoa ghadhabu.. au wanataka yale ya MKIRU?!

Huwezi kuchemsha maji huku umeziba kabisa kuzuia mvuke kutoka, afu ww ubaki salama.

Wananchi walio wengi Wana hasira juu ya matendo ya watawala waovu hawa.
Magaidi wanaachwa kuandamana kweli? Sawa umuache MULLAH OMAR kuandamana.
 
Hivi Mambosasa ana akili timamu?
Jiulize wewe hilo swali. Kelele nyingi sana mitandaoni afu vitendo zero kabisa. Mambo Sasa kafanya kwa vitendo, nyinyi vitendo vyenu vipo wapi?. Mnadaganya watoto wa wenzenu akati wewe,wenzako na watoto wenu mmejificha ndani. Shenzi kabisa.
 
UPDATE

View attachment 1617804

"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.

=====

Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA.

Viongozi wa CHADEMA wanaowashikilia ni pamoja na Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Godbless Lema na Boniface Jacob.

Amesema wanawashikilia viongozi hao kwa kuwa wanahatarisha usalama wa Raia na mali zao kwa kuwa Novemba 2 walipanga kuwatumia vijana kuchoma moto miundominu na vituo vya mafuta.

Aidha kwa usiku huu wanaendelea kuwatafuta watu ambao wanawashawishi vijana kushiriki maandamano ambayo Polisi wamesema ni ya Vurugu na si amani kwa kuwa wanaoshawishiwa ni vijana wavuta bangi.

Amesema hayo katika kipindi mubashara kilichorushwa na ITV.

PIA SOMA
= > Uchaguzi 2020 - Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano
Wanastahili kabisa kwa sababu walikuwa wanahamasisha uvunjaj wa amani nchini.
 
Eti vijana wavuta bangi! Imenikumbusha Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
Mnakera sana, kelele nyingi sana humu. Shida ni nini, si uende ukaandamane.
 
Wamevunja sheria gani?
Hivi kwa mfano, ukawa umedhamiria kufanya kitu ambacho wakati mwingine (na si wakati wote), kinachukuliwa kuwa ni kinyume cha sheria, ikitokea ukashindwa kukitekeleza kwa sababu tu ya kuwekewa mazingira pingamizi, kisheria unakuwa huna hatia? Mfano ulidhamiria kwenda kuiba nyumbani kwa A, bahati mbaya ukakuta mazingira hayaruhusu, ukashidwa kuiba, je unakuwa huna hatia katika mazingira hayo, assuming umejulikana?

Kwenye sheria, dhamira ni kitu muhimu sana kuwezesha ruling ya kujua kama kitu ni legal au illgal. Most important , kwenye kujenga mahusiano ya kimkataba wa kisheria, huwa kuna kitu kinaitwa "intention ti create legal relations". Hii ni dhamira ya mkataba.

Tusseme , mkiwa na intention ya kuuziana bangi kwa mfano , mkijulikana mnakuwa na hatia hata kabla hamjaanza mchakato wenu wa kuuziana hiyo bangi.

Kwenye sheria, dhamira ni kitu muhimu sana kuweza kum-judge mtu kama ni mhalifu au siyo mhalifu, hata kabla hajatimiza azma ya kufanya kile alichokuwa amekikusudia.

Haya maswala ya hawa watu yanaangukia kwenye scenerio sawa na hii niliyoieleza hapa

Nyani Ngabu
 
chadema acheni wananchi wapuuzi wa nchi hii waisome namba, mnajitoa kwa ajili yao ila hakuna support yeyote. kiufupi huwezi kumpigania mtumwa ambaye aliyozea utumwani.
Waendee kwenye majimbo yao wakaone walipokosea waache kuja kutusumbua huku kama ndio tulipo wachagua
 
UPDATE

View attachment 1617804

"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.

=====

Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA.

Viongozi wa CHADEMA wanaowashikilia ni pamoja na Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Godbless Lema na Boniface Jacob.

Amesema wanawashikilia viongozi hao kwa kuwa wanahatarisha usalama wa Raia na mali zao kwa kuwa Novemba 2 walipanga kuwatumia vijana kuchoma moto miundominu na vituo vya mafuta.

Aidha kwa usiku huu wanaendelea kuwatafuta watu ambao wanawashawishi vijana kushiriki maandamano ambayo Polisi wamesema ni ya Vurugu na si amani kwa kuwa wanaoshawishiwa ni vijana wavuta bangi.

Amesema hayo katika kipindi mubashara kilichorushwa na ITV.

PIA SOMA
= > Uchaguzi 2020 - Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano
Mambosasa ni SACP, sio ACP.
 
Interview yote ipo youtube ITV kuna mahala kweli neno ugaidi limetumika zaidi ya mipango ya kuvunja amani na kuhujumu uchumi.

Kama unamipango ya kuchoma vituo vya mafuta mali za kampuni binafsi si ajabu ata madeni ya investment awajamaliza kulipa, achilia mbali hasara wanazotaka kuwatwisha insurance companies, bughudha kwa wananchi na kuaribu uchumi; wakati wote hao awana uhusiano wowote na NEC wala matokeo ya uchaguzi.

Matatizo mengine ni ya kujitakia, huko Belarus baada ya uchaguzi mgombea anaepiganiwa keshakimbia nchi na viongozi wa vyama vya ushirika waliokuwa wanamuunga mkono karibu wote wamekamatwa; lakini waandamanaji kila siku wanaingia kitaa sasa hivi sijui mwezi wa ngapi.

Maandamano wananchi wakichoka wala uhitaji nguvu, kwa Tanzania pamoja na mapungufu ya hapa na pale wananchi bado wanaimani na CCM upinzani bado auna safu wala siasa za kuwaaminisha watanzania wao ni mbadala.
 
Hicho wanchofanya ni more dangerous zaidi, Bora wangewakamata wakati wa maandamano.

Inanikumbusha story moja " Kuna baunsa mmoja alikua ananyanyasa wanakijiji. Siku moja akatokea kijana mdogo tu akamwambia kesho saa Saba mchana nitazibinya pumbu zako mpaka ulie" Sasa Yule baunsa akaanza kumkimbiza Yule kijana.

Kijana akakimbilia nyumbani kwa babu yake " babu akamuliza baunsa kulikoni unakimbizana na mtoto" Baunsa akajibu mjukuu wako kasema kesho atanibinya pumbu" Babu akamuliza kwani kesho imefika? Kwa ameshakubana pumbu? Baunsa akamjibu hapana.

Babu akamwambia Baunsa subiri kesho akikushika Kama alivyoahidi ndio umkamate umtie bakora.

Hadhithi inatufundisha tusiwe tunaweza mechanically/ robotically, na Kuna wakati subira huvuta heri.

Hatukujifunza wakati wa Maandamano ya Mange Kimambi?
Hawa wapinzani fake vibaraka ni wakubinya kabisa wakaishi cages huko wajinga sana
 
Back
Top Bottom