BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hahah dah. Mbowe Al Baghdad, godfather wa wana kibao wa Cabo del Gado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona na mimi nilishiriki na pia nilimsikia Lissu saa tisa mchana na yeye akisifu kama mimi kuwa ulikuwa mzuri ila masaa 4 baadae uchaguzi ukawa mbaya nahisi CDM wanapelekeshwa,kwani hawakuwasiliana na Mdee kuwa wamekamata kura zipo nje ya kituo hapo ndipo napata mashaka ni nini kilichowabadilisha wakati walituaminisha uchaguzi ni mzuri na wakati wa Kampeni walisema hakuna kuiba tutazilinda kura kivyovyote watazilinda kwenye majumuisho yanapotangazwa wakagoma kuwa hukuwa na huru.Wewe uliuona uchaguzi tar 28? Tuache kuwa wanafiki. Demokrasia nchi hii imeshafutika angalau kidogo labda tokea uchaguzi wa 2015 labda lkn mwaka huu ni aibu sana. Kama unanufaika na yanayofanyika nchinu kwasasa nakutakia kila la kheri nyie ndio mmeshika makali. Nchi yenu hii fanyeni mtakavyo.
Wewe uliuona? Ni yeye...Wewe uliuona uchaguzi tar 28?
Wamesahau akili za kupewa changanya na zakoYani kigogo kateka mpaka madingi huwaambii kitu kila kitu ukiongea utasikia ,kigogo kasema kifupi wanamwamini kuliko hata Miungu.
Kudhamiria ni kosa? Ni kosa pale ambapo dhamira hiyo itakuwa iko kinyume cha sheria. Soma tena post yangu ya kwanza hii hapa chini, taking note of the bolds!Kudhamiria ni kosa?
Unapimaje kudhamiria?
Je, mtu akidhamiria kuandamana halafu akaahirisha dakika ya mwisho napo amefanya kosa?
Unajuaje huyu kadhamiria na huyu hajadhamiria?
Unahakikishaje wameshikiliwa kwa haki na si kisiasa?
Kesi ya kudhamiria unawezaje kuthibitisha Polisi hawawabambikii watu dhamira za uongo?
Unaweza vipi kumzuia Polisi anayekuchukia kukuzushia kesi ya kudhamiria kuiba wakati huna dhamira hiyo?
Dhamira: walisema wao wenyewe na wakakutwa katika mazingira yanayothibitisha kile waichokuwa wamekisemaKudhamiria ni kosa?
Unapimaje kudhamiria?
Je, mtu akidhamiria kuandamana halafu akaahirisha dakika ya mwisho napo amefanya kosa?
Unajuaje huyu kadhamiria na huyu hajadhamiria?
Unahakikishaje wameshikiliwa kwa haki na si kisiasa?
Kesi ya kudhamiria unawezaje kuthibitisha Polisi hawawabambikii watu dhamira za uongo?
Unaweza vipi kumzuia Polisi anayekuchukia kukuzushia kesi ya kudhamiria kuiba wakati huna dhamira hiyo?
Yupo sawa kabisaHivi Mambosasa ana akili timamu?
Gaidi kama mboweHii nchi ni ya kishetani kweli, watu wamejaa uongo na uzindaki tena hawaoni hata aibu wanapoongea, lakini msipowaruhusu watu watoe hisia zao mnatengeneza ugaidi
Uko right mkuu nimefuatilia documentary za utawala wa Miamba ya Africa Gaddafi na Mubarak pia Saddam Hussein kilichowaponza ni kujisahau ktk madaraka huwezi amini ilifikia muda Mubarak anaona hakuna anayeweza kutawala zaidi yake hata kumrithisha Mwanae alone sio matokeo yake mapinduzi yaliyofuta mazuri yote waliyofanya (YouTube Uncle Saddam, The family )Bora demokrasia mkuu unapambana na watu majukwaani huku unawaona kuliko kuzuia wapinzani wa majukwaani ili uzalishe waasi ambao watapambana nawe kwa kukuvizia na kukimbilia msituni.
Wewe unajuaje kama kura yako iko upande wa ushindi!?Kumbe safari bado ni ndefu kwa watanzania, hata wanaojua kusoma na kuandika! Kura ni uamuzi wa wananchi siyo mgombea. Katika hili anayenufaika ni mwananchi siyo aliyepigiwa kura!
kwenye hekima ukiingiza nguvu lazima utoroshe motoMambosasa yupo live ITV usiku huu akisema amewakamata Mbowe, Lema na Jacob kwa kuhamasisha maandamano.
Hii haitarudisha nyuma morali wa waandamanaji.
----
Point sana Mzaz,Shida nyomi na miluzi.Wewe unajuaje kama kura yako iko upande wa ushindi!?
Una uwezo gani kisheria kuhakikisha unajua kura ya mwenzio iko upande gani!?
Nakumbusha, Kura ni siri, Haiandikwi jina..
Kwa upande mwingine Wagombea wamepewa mamlaka kisheria kusimamia zoezi zima na kuhesabu na kulinda kura...
Ikitokea zimeibwa nani aandamane, Mgombea na Wakala!? Au Mwananchi!?
Kwa mgombea na wakala naona wanasababu halali kabisa ila kwa mwananchi sioni... Ukikamatwa ukaambiwa uthibitishe kuwa ulipiga kura ya ushindi unaweza!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Police Dar es salaam yaanza kuwakamata waliopanga maandamano.
Walio kamatwa ni pamoja na Aliye kua mbunge wa Arusha Godbless Lema pamoja na Mwwnyekiti wa CHADEMA taifa Mbowe
Kwa hiyo Uongozi wa JF wamemfungia Mudawote kwa sababu ya kuwakosoa?Yupo sawa kabisa
Una uhakika au ushahidi usio na mashaka kwa ulichoandika?Magaidi wamepewa dhamana,aisee
Magaidi wamepewa dhamana!!!! Mambosasa, akili za kuambiwa changanya na za kwako. Umekuwa kituko. Hovyooo.UPDATE
View attachment 1617804
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
=====
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA wanaowashikilia ni pamoja na Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Godbless Lema na Boniface Jacob.
Amesema wanawashikilia viongozi hao kwa kuwa wanahatarisha usalama wa Raia na mali zao kwa kuwa Novemba 2 walipanga kuwatumia vijana kuchoma moto miundominu na vituo vya mafuta.
Aidha kwa usiku huu wanaendelea kuwatafuta watu ambao wanawashawishi vijana kushiriki maandamano ambayo Polisi wamesema ni ya Vurugu na si amani kwa kuwa wanaoshawishiwa ni vijana wavuta bangi.
Amesema hayo katika kipindi mubashara kilichorushwa na ITV.
PIA SOMA
= > Uchaguzi 2020 - Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano