Kamanda Mambosasa: Mwandishi Erick Kabendera anahojiwa uraia wake

Hili swala la uraia kutumika ni rahisi kulimaliza. Ha ha ha ha

Ruhusuni uraia pacha. Mkiambiwa nyie mnaolia lia leo kuwa kuwe na uraia pacha mnabaki kusema usalama wa taifa na wanataka kula huku na kule. Ona sasa.
 
Aliposema wanaulizia uraia wake tu nikachoka kabisa. Mada ikaishia hapo hapo.
 
Thats it, ndio nilikua nataka kusema hivyo hivyo, wanadhani bado waTanzania ni wale wale wa kupelekeshwa, sasa hivi ukihoji na kutetea haki unaambiwa sio mtanzania. Pumba.vu sana.
 
Aliposema wanaulizia uraia wake tu nikachoka kabisa. Mada ikaishia hapo hapo.
 
Usituone VIAZI we mzee. Alienda kukamatwa na watu waliovaa kiraia na gari ambalo lina namba binafsi sio gari la polisi. Tuambie kwanini? hakukuwa na gari la polisi????

oneni aibu basi
 
NI fimbo ya hovyo sana hiyo, Chiluba alijaribu kuitumia hadi kwa raisi mstaafu wa nchi hiyo Mzee Kaunda kwa kumuita eti ni Mmalawi, lakini kilichomtokea yeye mwenyewe Chiluba baada ya kutoka madarakani ni somo kwa viongozi wote wa Afrika
Alikuwa mngoni nini?
 

Asubuhi wanakana kuwa na mtu jioni wanakiri kuwa wao ndio wanae!!!
Mungu atuepushe na kikombe hiki laa si hivyo basi mapenzi yake na yatimie...
 


Majitu yamefungwa sana midomo..watu wamegeuka kuwa na hofu tu..kwakwel mie navyojijua mfano ndo mume wangu anakamatwa kiwehu wehu hvyo...hahaa ntauza gazeti zao..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…