Kamanda Murillo; kuhusu kushambuliwa Fr Kitima, anza na Dr Frey Edward Cosseny

Utaahira na upumbavu, au ushenzi ni huo.

Magufuri alikua mchapa kazi. Aliepinga masrahi ya taifa Kwa namna yoyote Ile aligeuka adui yake.

Kipindi hicho TZ ilikua na mgongano wa kimasrahi na makampuni ya madini, Kwamba kina kikwete waliingia mikataba mibovu, TZ haipati kitu na udanganyifu wa kiwango Cha madini ni mwingi mno.

Lisu kwa kua upande wa ukosoaji na kusaidia hayo makampuni, yanamnunua anakua wakili wao na Kwamba hata miradi ya maendeleo pesa isitoke Kwa wao kutangaza Kwa wafadhiri kua TZ hamna hiki Wala kile demokrasia haipo, Kwa Magu ilikua ni kosa. Watu kama Lisu Kwa nchi za Uchina, Russia na Marekani hua wanapotezwa kimya kimya, sio Kwa stail hiyo ya risasi hadharani.

Sasa huyu mama yeye anapiga wakosoaji Kwa sababu ya ulaji. Hamna masrahi ya taifa yanayopiganiwa hapo. Ni ulaji na upigaji tu wa dili.

Tofautisha vizuri hivyo vitu haviko sawa.
 
Kweli Tanzania ni mahali salama bila dikteta Magufuli

1. Mauaji ya akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wale zaidi ya 300 wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji
2. Kumshambulia Tundu Lissu
3. Kumtuma yule hayawani Makonda kuvamia kituo cha Clouds
4. Kumteka Mo Dewji na Roma Mkatoliki
5. Wale waliokuwa wanatupwa kwenye viroba baharini na mto Ruvu.
6. Kimfukuza kazi CAG Assad baada ya kuhoji zilipo Tsh 2.5 Trillion
7. Kujenga mmiundombinu mikubwa kijijini kwake Chato kama uwanja wa ndege, referral hospital
8. Kunyang'anya fedha za wafanyabiashara
9. Kupuuza kujikinga na COVID-19, na hatimaye ikamtoa mazima yeye mwenyewe
10. Kuiba uchaguzi wote wa 2019 na 2020
 
Hayo yote hayahalilishi hiki kinachoendelea. Hao uliowataja hapo juu walimkosoa sio katika namna ya kujenga taifa, ni katika kuleta mfumo wa usawa Kwa kigezo Cha demokrasia, bila kuzingatia utaifa.

Hivi, ni kipi Bora kati ya hivi.
mtu kama jiwe aongoze nchi, rasilimali zilindwe hata Kwa damu na maendeleo yaonekane Kwa watu wanaofanya kazi, sio wapiga dili au

Mtu kama mama aongoze nchi, vitu, rasilimali wapewe wageni na wakosoaji wa Hilo damu zimwagike?

Magu alikua na vision ambayo low minded people hawawez muelewa. Mama aliingia na mfumo wa jumkosoa mtanguliz wake ambao kinsingi haufanyi kazi. Ni mfumo unaitengeneza wanufaika wa jeki ya taifa kubwa wachache na akili isipotumika, madhara ndio haya unayoyaona.
 
Kuna biashara sisizo na tija, biashara ambayo ipo katika mfumo wa utakstishaji pesa, aliifunga. Biashara ambayo zinasaidia watu kinyume na masrahi ya taifa, aliziona hazifai.

Kinsingi TZ inahitaji maendeleo na sio hizo demokrasia za kutetea upigaji na ugawaji wa rasilimali.
 
Kwa nini wamesema akiendelea kupata kinywaji??
Ni mwanzo wa utengenezaji wa maksudi wa taarifa ya upotoshaji ikimhusu mhanga wa tukio, kuonyesha kuwa alipopatwa na mkasa uliompata alikuwa sehemu ya mkasa huo. Alijiweka mwenyewe katika hali hatarishi kwake.
 
Vision mnaiona nyinyi wapumbavu tu!
 
Alikuwa mpumbavu tu kama wewe na ndiyo maana unamu admire
 
Mbona wewe hawakukua kama unafikira za kinyumbu hivyo?
 
Huyo hawezi mkamata
 
Usifiche udhalimu wa huyo shetani kwenye kivuli cha uchapakazi
 
Kwa hiyo yeye alikuwa nabii na mwenye utaalamu wa kujuwa biashara zinazotakasa fedha? Acha kiumpa mwendazake utukufu feki?
 
Ugomvi wa walevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…