TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

Je kifo chake "kimeharakishwa" kutokana na kufutwa kazi ya uRpc aliyokuwa nayo kabla? Huenda magonjwa jamii ya Bp imehusika. Pumzika unapostahili kamanda.
 
Tumsamehe bure.
Ameenda kule wasikorudi na mengi ameyaacha hapa duniani.
RIP Kamanda.
 
Ni-heri mimi nauza pilipili kwa matumizi ya hiali kwako na wengine wenye mapenzi nazo(kwa walaji) lakini sisi yeye mwenye kuhatarisha Amani kwa Taifa kwa kutumia ofisi yake vibaya,kwa matumizi ya kisiasa.
Tunapata prsha ya bure. Kuna watu wameamuia kuwa watumwa na hatuna njia ya kuwasaidia. Mtu anashabikia chama cha siasa utadhani ni mali ya familia yake, kumbe hata M/kitu hamjui! Kama huyu aliamua kuwa mtumwa wa CCM, huna sababu ya kuumia. Achana naye na hapo hakuna suala la amani ya nchi, ni mapenzi yake.
 

Mkuu ,unaelewa maana ya Dhamana /Madaraka /Mamlaka ?.

Unaijua Athari ya kutumia Ofice vibaya kinyume kabisa na Utaratibu !?.

Jeshi la Polisi linaposhiriki vikao vya ndani vya CCM, unategemea litatenda haki kwa vyama vingine?
 
Mkuu ,unaelewa maana ya Dhamana /Madaraka /Mamlaka ?.

Unaijua Athari ya kutumia Ofice vibaya kinyume kabisa na Utaratibu !?.
Tatizo munalaani kamanda huyu bila kumbukumbu kwamba Mbowe anatumia madaraka vibaya, Magufuli anatumia vibaya, Shen anatumia vibaya, Zitto anatumia vibaya, wewe unatumia vibaya hapo nyumbani kwako, nk. Now, when everybody is guilt, who is guilt?
 
u

Alitubu kabla ya kufa? wee utumie madaraka yako vibaya kunyanyasa watu halafu eti ulazwe pema? kama hakutubu, kuacha uovu na kumrudia Muumba wa Mbingu na Nchi huyo ni motoni tu tena kuzimu....
Ndo maana nimesema Mungu anaona ya nuruni na ya gizani.....kiimani tunaaswa kuwa makini na maisha yetu....unaweza kukosa na kutubu lakini adhabu ipo pale pale.....ni kumwomba Mungu atupatie REHEMA KAMILI.
 
Ile yote ilikuwa njaa ya kuusaka uIGP
 
Inaonekana umeandika kama una furaha vile?
Hata ufanye lipi kufa ni lazima, kwa haiyo Han[na pus litasalia kwenye hii dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…