Hivi kwanini hapa kwetu Polisi ni Jeshi na si Idara kama ilivyo uhamiaji?Ukweli lazima usemwe... Alifanya jeshi la polisi lidharaulike sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini hapa kwetu Polisi ni Jeshi na si Idara kama ilivyo uhamiaji?Ukweli lazima usemwe... Alifanya jeshi la polisi lidharaulike sana.
Wewe utabaki milele hapa duniani kwa matendo yako mema
Na huko aliko kwenda hata mkuta Mungu. Alikuwa na riho mbaya sanaHuo utu ni upi?arusha kazi yake ilikua kamata watu ambao wanampinga gambo mpka waandishi wa habari.
Aende panapo stahili
Kabisa alikua rpc wa hovyo kuwahi kuongoza arusha,akitokea mwz kwenye ile kashfa ya askari kuhongwa mamilioniNa huko aliko kwenda hata mkuta Mungu. Alikuwa na riho mbaya sana
Mahindi yanayobanikwa juu ya mkaa ama nyama ndani ya freezer vyote vipo mahali pema kulingana na nature za hivyo vitu....hata peponi roho zote zitakuwa mahali pema kulingana na nature za hizo roho.sawa, basi usiseme alazwe pema, mwache alazwe anapostahili
RIP kamanda.
Ni huzuni & majonzi
Ameumaliza mwendo
Kazi ya Mungu Haina makosa
RIP Kamanda Shana
=====
TANZIA: KAMANDA JONATHAN SHANA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shana amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu
Alifahamika zaidi katika kujihusisha na shughuli za Vyama akiwa na sare za kipolisi. Aidha, aliwahi kufananisha Chama Tawala, Serikali na Dola kwa Kanuni za Kihesabu
Kamanda Shana aliwahi kuwa RCO Mikoa Mbalimbali Nchini ikiwemoRPC-Mikoa ya Pwani, Mwanza na Arusha pia aliwahi kuwa Mkuu wa Upelelezi Simiyu.
ACP Jonathan Shana amefariki akiwa Afisa Mnadhimu katika Chuo cha Polisi (CCP) Moshi
Pia soma >>> RPC Shana anavyotikisha Arusha, awadaka Majangili hatari, AK 45, Meno ya Tembo
Watu 9 waliohusika kutungua chopa na kumuua rubani wakamatwa
Usipende kuhukumu mkuuAende anakostahili kutokana na matendo yake
Nimepitia comment zote, hitimisho: kumbe kweli wema hauozi, ubaya haulipi. Huyu kiongozi kaondoka lakini yaliyo andikwa humu kumhusu kama ni ya kweli, ndugu na familia kawaachia aibu kubwa.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hivi Ni huyu video yake fulani ili trend akiwa na Ilani ya CCM?
Maskini! RIP kamanda Shana! hivi huyu ndiye aliyekuwepo kipindi Lema amekwekwa mahabusu miezi sita huko Arusha?🙁Siku za mwanadamu hapa duniani si nyingi, tuache ujivuni. RIP Kamanda
sikumoja nilimwona akifundisha makuruta, sidhani kama iliyokuwa kazi sahihi kufanya, hata hii ya jpm kupiga pushapu naona ka umri umeendaHakuna amani hapo! Hukumu ya Shana mbona iko simple kabisa kujulikana!
Wewe ni sawa na nyasi moja kudondoka juu ya nyumba huku ukitegeme nyumba ivuje,Amefanya nini zaidi ya kuwa polisi kada wa chama cha mapinduzi? Na yeye kupitia nafasi yake amekuwa akiunyanyasa upinzani. Ametumika vibaya kisiasa,pia amesababisha niichukie kada yote ya polisi. Naombeni mnisamehe kama nimewakwanza.
R.I.P kamanda kada w CCM