Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Kumepambazuka!
 
red alarm anguko la ccm
 
Askofu Mwamakula akamatwe tu ili ajue kutofautisha uongozi wa dini na siasa. Amekuwa mstari wa mbele kwenye siasa kuliko kanisa. Kila siku anapost upotoshaji
Liberation theology at work and that’s what helped Latin America
 
Heehee!!!
Tumefika patamuu....
😂😂😂
 
Na wewe umeambiwa kama nani? Au ni uhasama wa taifa ?
 
Hv DP World wamewapa nn cccm mpka wanangangania ?
 
Yaani hakuna kitu kiliniuma kama kuhamisha wale wamasai kutoka kule Ngorongoro, ili Mwarabu apewe vitalu vya uwindaji na sijui hao warabu wanatajenga hôtel huko.Too sad.
 
Nimesikia kwenye klabu house dada mmoja yuko Marekani kasema Watanzania walioko nje za nchi waende kuandamana kwenye ubalozi wa UAE na Tanzania duniani kote kupinga kukamatwa kwa hawa watu.Hili ni jambo zuri kutafuta haki na amani Tanzania.
 
Huyu mama nchi imeshamshinda anakimbilia kufanya ukatili.
 
Hakuna haja ya kuiombea Nchi hii bali tuendelee kumsifu Mungu tu[emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hawa ni waoga sana.Hivi Mshana Dawa zako haziwezi kuwapoteza CCM, wapoteane?
Unajua kuna mda watu huwa wanachoka hasa wenye ushawishi mkubwa baadae wanaona hawana chakupoteza angalia burundi, kenya 2007, ethiopia, wataona inayo itwa amani ipo mdomoni mwa viongozi huku wengine wanakamatwa kwa matakwa ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…