GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bilashaka baada ya kusoma,wataweka,hata hivyo MWENEZI lazima ale ya POSHO kwanza.
Makalla kuna sehemu kabla na baada ya kutaja baadhi ya majina, kaweka pause kwanza kisha kanywa maji, kutua roho.

Hatari sana.
 
Nina mahaba ya dhati na mama Dkt. Gwajima D kwa jinsi anavyojitoa kiubinadamu kwenye jamii na sio kisiasa nakuombea kila la heri mama
 
Labda walimsingiziaga lile soo lake, nahisi aliundiwa zengwe.
Humjui Nawanda wewe! Mjinga yule jamaa toka tunasoma hajawa DC huko singida anakamata watu afu anaagiza CR eti nliowakamata wote wanione mmoja mmoja kila mmoja kwa wakati wake alikuwa anakula sana wadada kwa kivuli cha lecturer ntakudisco
 
Aisee, makamba kaachwa yule mjuba sijui alifanya nini? Afadhali mpina yeye alimkorofisha rais, gambo naye katemwa kimtindo
 
Humjui Nawanda wewe! Mjinga yule jamaa toka tunasoma hajawa DC huko singida anakamata watu afu anaagiza CR eti nliowakamata wote wanione mmoja mmoja kila mmoja kwa wakati wake alikuwa anakula sana wadada kwa kivuli cha lecturer ntakudisco
Duuu kama ni kweli akiiona jannah (pepo) mniite mbwa nimekaa pale
 
Shida siku hizi mpaka waganga wao waseme,sasa naskia kuna mganga kakwamishwa na nguvu za Mungu.Chama dola sasa hivi waganga wakisema wanataka kichwa chako kinapelekwa.Hali sio kabisaaaa
 
Shafii dauda ndani, huyu mshua akipeta ubunge wizara ya michezo ni saizi yake, aanze na unaibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…