Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
kubenea aliwahi kusema kuwa huyu Ben Saa Kumi huwa anaonekana mtaani...kwa hiyo ahojiwe yeye na atoe ushahidiyaani sikujua kama hawa jamaa wana michezo hiyo, kumbe ben nae sasa tuwatuhum wao
wewe ndiye unatafsiri hivyo but Jpm ni good person kwa mstakabali wa Taifa hiliAcha hizo! Mungu hawezi kuleta dictator!
Tena wamekiri kuwa ni kweli... nadhani vyombo vya usalama vianze na waokubenea aliwahi kusema kuwa huyu Ben Saa Kumi huwa anaonekana mtaani...kwa hiyo ahojiwe yeye na atoe ushahidi
Kwa sasa wako huru kuondoka huwezi kuwazuia ila watakuwa ndio wamejimaliza kisiasa.Isije ikawa akina Komu na Kubenea wameomba radhi ili waandae mazingira yakuhamia kule CCM,hao waangalizi wawe makini hasa na teknolojia yao amabayo Komu kasema imewazidi ujanja.
kivipi mkuuHakuna neno zaidi ya kubenea na komu ni washindi!
Sitaki kukujibu maana unajua majibu.Said Kubenea na Antony Komu Wamekiri kuwa ile audio ilikuwa kweli na mpango wao ni sawa.
Je Wangefanikiwa Je Tungesema ni serikali.?Je chadema wangekuja hadharani kuwaammbia wananchi kuwa ni michezo yao ndani ya chama ya siku Nyingi.?
Tuzidi Kumwombea Jpm Atunze amani ya nchi na Taifa.
Kuletwa kwa Jpm Ndani ya Taasisi ya Urais Ni Makusudi ya Mwenyezi Mungu.
Kwa sasa wako huru kuondoka huwezi kuwazuia ila watakuwa ndio wamejimaliza kisiasa.
Mkuu ukiingia kwenye nyumba ya mtu kwa lengo la kuiba fedha kisha ukakosa unaweza hata kubeba ufagio ili mradi tu lengo la wizi litimieMkuu naomba ufafanuzi kidogo mi mtu wa mkoani hasa hapo kwenye bold; hivi hua inakuaje hi "saccos" Mbowe anaitumia vizuri hivyo ili hali pesa za chama hua zinakua Audited!? How comes CAG aweze kuona upotevu wa 1.5 Tilioni za serikalini but za Chadema zimshinde!? Tena sio mwaka hu au mwaka jana, almost tokea Mbowe kaingia madarakani, hili halijawahi kuonekana!? Hebu nishawishi na mimi nilielewe mbinu za huyu jamaa ambazo zinamshinda profesa Asadi kuziona
Never on earth! Tafsiri hiyo for a knowledgeable person or even an informed one, by all measures and standards, he is a dictator! Hatubishani, tuwe wasomi ingawa hatujaenda shule, lakini hata sisi tunayaona pamoja na kutokwenda shule kwetu............just go through this list of indicators and then tell me ni kipi hajakifanya hapo!wewe ndiye unatafsiri hivyo but Jpm ni good person kwa mstakabali wa Taifa hili
Ruzuku inategemea idadi ya kura za rais na wabunge wakati wa uchaguzi mkuu, Idadi ya wabunge inaathiri Idadi ya wabunge wa viti maalumu.asante Quinine, unajua nami nilikuwa nadhani amount ya ruzuku inategemea idadi ya wabunge in a particular month of payment!
Mlinzi wa Mbowe anasemekana alifia gesti mbona mko kimya juu ya hilo?
...Kwa mustakabali wa wanalumumba bhana. Taifa hili ni zaidi ya vibaka waliojazana hapo lumumba.wewe ndiye unatafsiri hivyo but Jpm ni good person kwa mstakabali wa Taifa hili
Baada ya dili la Kubenea na Komu kubuma unataka tuanze kujadili la mlizi wa Mbowe.Mlinzi wa Mbowe anasemekana alifia gesti mbona mko kimya juu ya hilo?
Nenda ukakune nazi, nakuona kichwani ni mweupe!Waombe radhi kwa kosa gani?
Kutoa maoni yao kwamba chadema ipate mwenyekiti mwingine ni kosa?
Kwa nini hawajifunzi kwa ccm iliyobadilisha mwenyekiti kutoka Nyerere, Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete na sasa Magufuli?
Kwa hiyo Bavicha kutwa wanalilia Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Magufuli lakini hawataki Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Mbowe??
Atakuambia hakukurupuka bali alinukuliwa vibaya.Yericko Nyerere ataiweka wapi sura yake,alikurupuka?