GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kumbe unakopi na kupesti hapa kila Kitu kutoka katika Mtandao wa EastAfricaRadio na EastAfricatv? Sasa si bora ungetuambia mapema tujue tu!!!-"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; Mbowe
Unamdhalilisha bibi yako pamoja na familia yote bila kusahau ukoo wenu kwamba ni bora baba yako angelipigia puli tu bao lako kisha azitupe mbegu baharini ziliwe na masamaki...Hilooooo hata haichekeshi. Jichekesheni hapo wewe na hawara ya bibi yako mzaa babu yako.
Nyau wewee
Tulia, sikiliza press.Kama mligoma kuteua na hamuutambui uchaguzi sasa wabunge mnateua wa nini wakati mmesaidiwa.
Hakuna aliyewaonea, mmepigwa chini kihalali.
Nimecheka kidogo nipaliwe. Wanasiasa ndivyo walivyo, vumilia tu atafikia hitimisho tu.
Wakiachana na huu upuuzi w covid ,19 tutawapa hela ya kutosha kuendesha chama bila ruzukuBaada ya maamuzi haya Chadema imekuwa bora zaidi kuliko awali, imejipambanua kwa matendo juu ya madai yake ya kukiukwa kwa kanuni za msingi za uendeshaji wa chaguzi zetu na ukandamizaji wa haki za binadamu.
Ni katika hili, mimi binafsi na mamilioni ya watanzania tunapoitaka chadema kuitisha harambee ya kuchangia fedha ili kuonesha furaha zetu.
Fedha hizo zitatumika kwa jinsi chama watakavyoona inafaa.
Viva chadema2020. - Imeisha hiyo.
Sasa turudi kwenye kashfa ya fedha za corona. Maana European tax payers wanataka maelezo huko.
acha pigo hizo za ki sista duu. mbona hujaleta hizo updates weweKumbe unakopi na kupesti hapa kila Kitu kutoka katika Mtandao wa EastAfricaRadio na EastAfricatv? Sasa si bora ungetuambia mapema tujue tu!!!
Jamaa anazunguka Sana bn..Tulia, sikiliza press.
Kajiwe kanafuatilia mkutano kwa kutumia VPN! Kataahira!Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.
Mpaka sasa dalili zinanionyesha kuwa Kamati Kuu imelamba vichwa vya wasaliti wote.
Alafu Ili kuthibitisha kuwa CHADEMA hawahusiki na huo uteuzi wa hao wasaliti, moja ya maamuzi ya kikao iwe ni kulitaka Jeshi la Polisi, tena kwa kuwaandikia barua rasimi, wachunguze sakata hili(tuhuma za kugushi na nyinginezo) bila kujali Polisi watachukua hatua au laa na CHADEMA waahidi ushirikiano alafu tuone kama kunakitachofanyika.
Hii Press inasubiriwa na kufuatiliwa kama fainali ya World Cup!
Unataka nizilete nami au? Mimi nitazileta nyingine mpya Kesho au Wiki ijayo tu wakati tukiwakaribisha hawa Wabunge ambao ni Assets huku CCM.acha pigo hizo za ki sista duu. mbona hujaleta hizo updates wewe
cha muhimu updates kutoka chanzo chochote cha kuaminikaacha pigo hizo za ki sista duu. mbona hujaleta hizo updates wewe
umeachwa mbali sana !Umeridhika na maamuzi ya hiyo inayojiita kamati kuu wakati ina ubwege? Wakisema tunawaita wanashangiliwa. Wakisema hatuwatambui, wanashangiliwa. Watu wakasubili adhabu na msimamo mkali, haukuja! Sasa tena wana shangilia. KIla kitu kushangilia.
Maamuzi yanawatosha nyumbu tuu, Mbowe kasema hawatambui! Hayo ndo maamuzi.Wasaliti watakuwa wametimuliwa.
Cha huyo Jamaa ni kutoka EastAfricaRadio na EastAfricatv na uzuri wengine tunapata hizo updates huko na hata hapa pia kutoka kwa Watu wapya.cha muhimu updates kutoka chanzo chochote cha kuaminika
Yakitanguliwa na maamuzi hutaendelea kumsikiliza. Raha ya mwanasiasa ni kusikilizwa. Lazima akupigie jaramba kwanza ndipo afikie hitimisho.hya maelezo ilibidi yatanguliwe na maamuz