Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.
Mpaka sasa dalili zinanionyesha kuwa Kamati Kuu imelamba vichwa vya wasaliti wote.
Alafu Ili kuthibitisha kuwa CHADEMA hawahusiki na huo uteuzi wa hao wasaliti, moja ya maamuzi ya kikao iwe ni kulitaka Jeshi la Polisi, tena kwa kuwaandikia barua rasimi, wachunguze sakata hili(tuhuma za kugushi na nyinginezo) bila kujali Polisi watachukua hatua au laa na CHADEMA waahidi ushirikiano alafu tuone kama kunakitachofanyika.
Hii Press inasubiriwa na kufuatiliwa kama fainali ya World Cup!