Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

-"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; Mbowe
Kumbe unakopi na kupesti hapa kila Kitu kutoka katika Mtandao wa EastAfricaRadio na EastAfricatv? Sasa si bora ungetuambia mapema tujue tu!!!
 
Hilooooo hata haichekeshi. Jichekesheni hapo wewe na hawara ya bibi yako mzaa babu yako.

Nyau wewee
Unamdhalilisha bibi yako pamoja na familia yote bila kusahau ukoo wenu kwamba ni bora baba yako angelipigia puli tu bao lako kisha azitupe mbegu baharini ziliwe na masamaki...
 
Kama mligoma kuteua na hamuutambui uchaguzi sasa wabunge mnateua wa nini wakati mmesaidiwa.

Hakuna aliyewaonea, mmepigwa chini kihalali.
Tulia, sikiliza press.
 
Baada ya maamuzi haya Chadema imekuwa bora zaidi kuliko awali, imejipambanua kwa matendo juu ya madai yake ya kukiukwa kwa kanuni za msingi za uendeshaji wa chaguzi zetu na ukandamizaji wa haki za binadamu.

Ni katika hili, mimi binafsi na mamilioni ya watanzania tunapoitaka chadema kuitisha harambee ya kuchangia fedha ili kuonesha furaha zetu.

Fedha hizo zitatumika kwa jinsi chama watakavyoona inafaa.

Viva chadema2020. - Imeisha hiyo.

Sasa turudi kwenye kashfa ya fedha za corona. Maana European tax payers wanataka maelezo huko.
Wakiachana na huu upuuzi w covid ,19 tutawapa hela ya kutosha kuendesha chama bila ruzuku
 
Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.

Mpaka sasa dalili zinanionyesha kuwa Kamati Kuu imelamba vichwa vya wasaliti wote.

Alafu Ili kuthibitisha kuwa CHADEMA hawahusiki na huo uteuzi wa hao wasaliti, moja ya maamuzi ya kikao iwe ni kulitaka Jeshi la Polisi, tena kwa kuwaandikia barua rasimi, wachunguze sakata hili(tuhuma za kugushi na nyinginezo) bila kujali Polisi watachukua hatua au laa na CHADEMA waahidi ushirikiano alafu tuone kama kunakitachofanyika.

Hii Press inasubiriwa na kufuatiliwa kama fainali ya World Cup!
Kajiwe kanafuatilia mkutano kwa kutumia VPN! Kataahira!
 
acha pigo hizo za ki sista duu. mbona hujaleta hizo updates wewe
Unataka nizilete nami au? Mimi nitazileta nyingine mpya Kesho au Wiki ijayo tu wakati tukiwakaribisha hawa Wabunge ambao ni Assets huku CCM.
 
Halima kumbe ur too low like this! Nilitokea kukuamini sana sana kwamba wewe ni kamanda mkuu pale CDM hadi wanachama wakawa wanakupa chepuo uukwae uwenyekiti 2025.. alaaa kumbe we famba...boya!!
Unashawishika na Mashinji na Polepole hawa zero brain huku wakimtumia Bulaya kukunasa kwenye tundu bovu kweli; watanzania wengi hawaamni nini kimekupata...Bulaya kakumaliza kisiasa...deal done!! Pole sana dadangu kipenzi.
..
 
Umeridhika na maamuzi ya hiyo inayojiita kamati kuu wakati ina ubwege? Wakisema tunawaita wanashangiliwa. Wakisema hatuwatambui, wanashangiliwa. Watu wakasubili adhabu na msimamo mkali, haukuja! Sasa tena wana shangilia. KIla kitu kushangilia.
umeachwa mbali sana !
 
cha muhimu updates kutoka chanzo chochote cha kuaminika
Cha huyo Jamaa ni kutoka EastAfricaRadio na EastAfricatv na uzuri wengine tunapata hizo updates huko na hata hapa pia kutoka kwa Watu wapya.
 
Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” -;
 
Yule wa Nkasi anatimuliwa lini maana nae amekubali kushiriki kwny Bunge haramu

Pesa mwanaharamu

Mdee kaitumia Chadema kama toileta paper kwa 15 years kama Mbunge lakin ilipofika kuchagua Pesa au chama kachagua Pesa

Hakuna aliewahi kukataa kuchagua Fedha dhidi ya chama pale
 
Back
Top Bottom