Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Wasikae kimya maana ni haki yao kuongea, lakini wataongea wakiwa sio wanachama wa cdm. Wakamfuate Lijualikali maana na yeye alikuwa na nyimbo hizo hizo lakini sasa hivi hauzi kabisa.
Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juuu ya kwa kuwaita wao nikorona covid 19. Kamati kuu imepewa barua ya sababuu , hivyo ilipaswa iheshimu na iwevumilivu. Kwakuwavua uanachama wamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote.
 
Yaani umetoa taarifa kwa mwandishi kanjanja ndio unafanya reference, tafuta kile chenyewe kilichosemwa. Hao makanjanja tu Kama manyumbu
 
-"Wanasema Mbowe nimetoa authorization akina Mdee waende kuapa. Mimi over my dead body. I am not and I will never be a person to betray this party. This part is my blood and sweat. This party is our future as a nation. Nitakuwa wa mwisho kwa gharama yoyote kukihujumu chama changu"
 

Watu 19 wawe na sababu moja? Wakate rufaa au wahamie ccm huko kuna vyeo vingi tu.
 
Wewe na Ndugai akili moja..hamjapona ugonjwa wenu.
 
Wana-JF,

Kama ilivyo issue ya kuku na yai ni nini kilianza, issue ya akina Mdee nayo yaweza kuangaliwa hivyo hivyo.

Uchafuzi wa uchaguzi wa 27 na 28 Oktoba 2020 ulikuwa wazi kabisa nchi nzima. Wakubwa kwa wadogo waliona kilichotokea. Uchafuzi ule ulipigwa picha na video sehemu mbalimbali za Tanzania. Unyang'anyi na udhalimu ule haukufichwa hata kidogo.

Baada ya hilo, viongozi waliitisha maandamano ya amani. Wananchi hawakujitokeza. Hawa hawa walioshuhudia wizi wa kura mpaka wakapiga video na kuweka kwenye social media, walikataa kuandamana walipotakiwa kufanya hivyo. Kule Zanzibar niliona Maalim akindamana na kundi la watu kama 20 hivi. Mita kama 50, wakapigwa mabomu na kukamatwa. Na ndio uliokuwa mwisho huo.

Hivi Watanzania tunategemea viongozi watuletee mabadiliko bila sisi kushiriki? Je, attitude hii ya Watanzania, haihusiki katika kukatisha tamaa viongozi? Viongozi nao wakiamua kutafuta riziki zao na familia na kuweka masilahi ya Watanzania nyuma, wanastahili lawama?

Naamini 100% kuwa saliti ni kitu kibaya. Lakini sisi Watanzania kwa tabia zetu, hatuchangii katika hali hii?

Fikiria na chukuwa hatua.
 
Ni bora kuwa na chama kimoja makini kuliko hawa wahuni wasiojitambua.

Mwanzoni nilijua CCM ina shida, kumbe hawa waigizaji ni tatizo kubwa zaidi.
Chadema imewafukuza covid 19 wanandungai tayari
 
Good riddance!
 
Walivyoenda kuapa walipata muda wa kujieleza,ccm akili zenu huwa mmezikalia
 
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM chadema siyo saccos ingekuwa ni saccos nyinyi wapumbavu msingekuwa mkishirikiana na CCM kuidhoofisha chadema kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi uonevu mateso manyanyaso kwao
 
Kweli keze zinasukumwa kwa akili na mahesabu makali but ubaya wa kete za chadema hazina nguvu sana.

Tunaweza kusema chadema ni sawa amekata kiganja chake cha mkono na tukaona kama hana akili ila amekata kiganja chake kwa akili ya kutaka kujichomowa kwenye pingu ilio mshika ila angalizo atavuja damu nyingi sna kwa mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…