Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juuu ya kwa kuwaita wao nikorona covid 19. Kamati kuu imepewa barua ya sababuu , hivyo ilipaswa iheshimu na iwevumilivu. Kwakuwavua uanachama wamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote.Wasikae kimya maana ni haki yao kuongea, lakini wataongea wakiwa sio wanachama wa cdm. Wakamfuate Lijualikali maana na yeye alikuwa na nyimbo hizo hizo lakini sasa hivi hauzi kabisa.
Yaani umetoa taarifa kwa mwandishi kanjanja ndio unafanya reference, tafuta kile chenyewe kilichosemwa. Hao makanjanja tu Kama manyumbuWabunge 19 wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokula kiapo kuwa wabunge wa viti maalum hivi karibuni akiwemo Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama hicho, Halima Mdee wamevuliwa uanachama wa chama hicho na nafasi zao za uongozi kwa maamuzi ya kikao cha dharura cha Kamati Kuu ya Chama hicho kilichoketi Leo jijini Dar es Salaam.
Katika hatua nyingine Mwenyekiti wa CHADEMA FREEMAN MBOWE amesema wanachama waliovuliwa Uanachama wao Leo na Kamati Kuu ya Chama hicho bado, wanayo nafasi ya kuomba radhi au kukata rufaa iwapo hawajaridhishwa na maamuzi yaliyotolewa dhidi yao.
Hiki ni chama hakina boss... ni mali ya wananchi Mbowe mwenyewe anajua siri hii.CHADEMA imefanya uamuzi mgumu na wenye Gharama Kubwa, ila Ni Uamuzi wenye HESHIMA!
Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juuu ya kwa kuwaita wao nikorona covid 19. Kamati kuu imepewa barua ya sababuu , hivyo ilipaswa iheshimu na iwevumilivu. Kwakuwavua uanachama wamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote.
Wewe na Ndugai akili moja..hamjapona ugonjwa wenu.Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juuu ya kwa kuwaita wao nikorona covid 19. Kamati kuu imepewa barua ya sababuu , hivyo ilipaswa iheshimu na iwevumilivu. Kwakuwavua uanachama wamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote.
Ukizaa wa kiume muite jobuu,ukizaa wa kike muite tuliaaaMtajuana wenyewe huko huko ufipa.
Chadema imewafukuza covid 19 wanandungai tayariNi bora kuwa na chama kimoja makini kuliko hawa wahuni wasiojitambua.
Mwanzoni nilijua CCM ina shida, kumbe hawa waigizaji ni tatizo kubwa zaidi.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates
======================
Waandishi wanaanza kuwasili ukumbini wanaoingia wanatakiwa kuwa vitambulisho.
Muda wowote kuanzia Viongozi wa Chadema wataingia ukumbini kuongea na waandishi wa habari.
22:08
Bado Viongozi wa Chadema hawajafika ukumbini
Mkutano huo utakuwa live kupitia
Tayari Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe ameshafika ukumbini
Tunawashukuru Watanzania wengi ambao wanafuatilia kikao maalum cha ajenda moja ya kujadili, kushauriana na kutafakari juu ya wanachama wetu 19 waliokwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum- Freeman Mbowe
"Sisi kama kamati kuu ya chama kikuu cha upinzani, tumeona na kuridhishwa kuna ukiukwaji mkubwa umekiukwa katika mchakato mzima wa uchaguzi na huu wa viti maalum. Tumejiridhisha ndani ya chama kuhusu mapungufu kadhaa yaliyofanyika-; Mbowe
“Chama chetu hakijateuwa Wabunge wa Viti Maalum lakini tunaona wapo Bungeni wanaapishwa”Mbowe
Tangu nchi hii ipate uhuru hatujawai kuona Mbunge/Wabunge wakiapishwa garage, mambo ya kihuni kabisa haya..." Mbowe
“Hiki chama kinaongozwa na principles bila kujali maumivu makubwa tuliyopitia chama chetu kitafuata utaratibu siku zote, kwahiyo kamati kuu imewavua nafasi zao za uongozi viongozi wote waliokua na nafasi katika mabaraza ya chama.”
@freemanmbowetz
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” -MBOWE
"Ili kanuni ambayo Spika ametumia iweze kufanya kazi kuapisha wabunge wetu. Kwanza wangestahili kubadilisha Katiba iruhusu wabunge kuapishwa nje ya utaratibu ambao ni ndani ya Bunge" -
Nusrate Hanje Katibu wa Bavicha amefungwa jela siku 133 kwa makosa yenye dhamana, hawa Watesi wetu wanakwenda kumtoa saa moja usiku akaape.”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaaapishwa”-
"Sisi kama chama cha siasa, hii 'process' yote hatuijui, tunaona tu wabunge wetu wanaapishwa. Chama chetu hakijateua wabunge wa viti maalum" -
"Wabunge hawa 19, mama zangu na dada zangu wameapishwa kiapo batili kwani Katiba inasema waapishwe mbele ya Bunge. Sasa kanuni zimebadilishwa ili kumruhusu Spika kumwapisha popote hata eneo la gereji-
“Tangu Nchi yetu imeanza hatujawahi kuona Wabunge wanaapishwa Gereji, lakini Dada zetu na Mama zetu hawa wameapishwa nje ya Bunge, wakati Katiba inataka waapishwe ndani ya Bunge, kwahiyo wamekula kiapo batili”
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu”
”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaapishwa”
“Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka”
"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe
Walivyoenda kuapa walipata muda wa kujieleza,ccm akili zenu huwa mmezikaliaMaaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juuu ya kwa kuwaita wao nikorona covid 19. Kamati kuu imepewa barua ya sababuu , hivyo ilipaswa iheshimu na iwevumilivu. Kwakuwavua uanachama wamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote.
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM chadema siyo saccos ingekuwa ni saccos nyinyi wapumbavu msingekuwa mkishirikiana na CCM kuidhoofisha chadema kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi uonevu mateso manyanyaso kwaoNyumbu hovyo kabisa, Sasa CCM inahusika vipi na kikao Cha saccos ambayo hawajielewi?
Kama pressure inashuka na kupanda ni kwa nyie nyumbu, Mbowe atabariiki na utakuja kurukaruka hapa, hao wabunge wa chadema wamewadharau hao viongozi wa saccos ndo maana hawana habari na hiyo kitchen party.
Pumbavu mkubwa, rais unamlinganisha na wapuuzi kama Mbowe