Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Walighushi uchguz mzima itakuwa wabunge 19 tu wa viti maalumu
Sasa kama walighushi majina ya viti maalumu, iweje hao akina halima wakimbie kwenda kuapa haraka haraka?

Wewe huoni hili igizo ni la kinyumbu sana?

Hivi nyie wafuasi wa MBOWE mko timamu kweli?
 
Mnafikiri nyie mnavyomsujudia Mh mungu na CHADEMA kuna huo upuuzi ?
Ndo maana hao wanawake wamewadharau na Hawana habari na hicho kikao Cha saccos. Wanamwona mnyika poyoyo tuu na Hawana haja ya kuheshimu viongozi.
 
Chadema Inaendeshwa Kijinga na Kihuni sana
Pale wapo Wapo tu
 
🤣🤣🤣 wabunge wa CCM -B au NEC CHADEMA, upinzani bila pesa ni sawa na kelele za chura kwenye maji
Kwani jela mliwatoa nyie watu watachangia Chama chao kuliko kuwabeba hao wanawake uchwara
 
Hata Jiwe nae macho na akili kwenye tamko la Mbowe. Slow Slow nae hajala hata kula anasubiri tamkozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…